Nimefanikiwa kubadili Kabila

Nimefanikiwa kubadili Kabila

Hivi kuna fomu zinazomtaka mtu ajaze kabila lake? Katika Tanzania hii ya sasa?
Ndiyo. Ukienda polisi haya ni baadhi ya maswali
1. Jina lako ni..................
2. Umri wako ni ...............
3. Kabila..............
Upo hapo?
 
Back
Top Bottom