housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
HahahaaaNimeamini hakuna kinachoshindikana chini ya hili jua.
Nimefanikiwa kwa asilimia kubwa kubadili kabila langu; kila ninapotakiwa kujaza kwenye fomu yoyote mimi ni kabila gani; naandika kabila ninalotaka.