Nimefadhaika na kusikitishwa sana leo hii.

Nimefadhaika na kusikitishwa sana leo hii.

....Leo baada ya kuikosa JF nilikuwa kama mgojwa vile kwasababu kwanza nilikuwa natakujua Swala maswa na hakukua na sehemu nyingine ambayo ningeweza kupata info....JF team naomba umuwe umnatutumia message mapema kwenye email zetu kwani hata kuwapigia simu saa zingine inakuwa ni usumbufu kwenu badala ya kushughulikia tatizo mnaanza kupokea simu...
 
hahaaaa mi nimenuna siku nzima leo ..nimepiga simu sanaaaaaaaaaaaaaaaaa....dahhh huyu mganga wako Invisible usije kumuacha yaani mi kaniloga na JF nadhani dawa imenikolea sana
kama umeoa angalia hakikisha una-balance..teh teh
 
I try 100 times and finaly give up.
Thanks to all JF IT team.
Good work and keep it in particular 31/10/2010 we need to be up but without forgeting that its votting day.
 
Lakini JF tujulishe vizuri, waliturudi au ilikuwa ni genuine matatizo, siku zote ninaishi na wasiwasi watatufanyia hujuma hapa , lakini naaaminia wataalam ndani ya JF,nilikuwa najisikia homa baada ya kuto weza ku - konect. Ah ilinisikitisha sana.
 
Hakuna siku nimefadhaika na kusikitishwa maishani mwangu kama leo..Kukosa JF kwa masaa haya 6 ilikuwa ni safario ndefu na ngumu..Ni heri kukaa nyikani na kuteseka kuliko kukosa JF.

Jitihada zenu timu ya JF nazipongeza sana,lakini nawaacha na wosia kuwa UJASIRI UNAHITAJIKA SANA KIPINDI HIKI KIGUMU KWA KUWA NJIA YA KWENDA KWENYE UKOMBOZI NI NYEMBAMBA SANA NA IMEJAA MIIBA.

Mungu Ibariki Tanzania ,Mungu Ibariki JF asanteni kwa kusoma nilichoandika

nakushauri upunguze 'utumwa' ndugu maana hutaishia hapo. Yalikuwepo na yatakuja zaidi ya haya. JF idumu lakini isiwe sababu ya kumpukutisha mtu kujiaminisha katika mengine pia
 
Hakuna siku nimefadhaika na kusikitishwa maishani mwangu kama leo..Kukosa JF kwa masaa haya 6 ilikuwa ni safario ndefu na ngumu..Ni heri kukaa nyikani na kuteseka kuliko kukosa JF.

Jitihada zenu timu ya JF nazipongeza sana,lakini nawaacha na wosia kuwa UJASIRI UNAHITAJIKA SANA KIPINDI HIKI KIGUMU KWA KUWA NJIA YA KWENDA KWENYE UKOMBOZI NI NYEMBAMBA SANA NA IMEJAA MIIBA.

Mungu Ibariki Tanzania ,Mungu Ibariki JF asanteni kwa kusoma nilichoandika

aisee! Niliwahi kusema hapa kuwa kwa baadhi ya wanachama jf ni king'ang'anizi (addictive). Kuiacha/kuikosa kabisa kunakosesha furaha kwa baadhi
 
Back
Top Bottom