Chifu Sanze
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 3,122
- 6,349
Mpendane, muheshimiane na mvumiliane kwani wote mnategemeana lakini sio mmoja wenu awe mtumwa kwa mwenzake. No
Ninapenda watoto na ni kati ya picha nyingi za watoto nilizonazo na naipenda. Yaani hiyo picha haina mahusiano na mimi hata kidogo.Ila Espy hiyo picha ya ID yako ninaipenda na sijui ulifikiria nini haswaa hadi kuchagua hiyo picha.
Natamani nikutane nawe ana kwa ana nikufahamu maana daaaa....!?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Mi pia nimependa sana huyo mtoto, yani natamani iwe na uhusiano hata kwa 40% ya jinsi ulivyo wewe Mama...Ninapenda watoto na ni kati ya picha nyingi za watoto nilizonazo na naipenda. Yaani hiyo picha haina mahusiano na mimi hata kidogo.
Acha ushamba heshima haitafutwi kinguvu hivo ..... yaani utoe tu heshima hata Kama hastahili hiyo heshima.Kuna kipindi nikiwa mwanafunzi nilipopita JKT, kuna afande aliwahi kusema kuwa mheshimu mno mkeo unayelala naye kitanda kimoja, kwani kukuua ni dk 0 tu.
Akatoa na mfano kuwa je, akikuwekea sumu au kukunusisha dawa za kukuua, ukiwa usingizini utapona? Jibu ni hapana!
Tuwaheshimu wake zetu, wana siri zetu nyingi mno, wakisema wamwage tumekwisha. Pia ogopa sana mtu unaye-share naye kitanda.
Nawasilisha, uzi tayari.
Yaani haaata kidooogo hakuna uhusiano.Mi pia nimependa sana huyo mtoto, yani natamani iwe na uhusiano hata kwa 40% ya jinsi ulivyo wewe Mama...
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sawa Espy Mama.Yaani haaata kidooogo hakuna uhusiano.
post # 30 kweli nilitumia simu (smartphone) kumbe nayo inachagua manenoNatamani kama urudie kuandika vile. Kuna point za msingi ulikuwa unazitoa ila maneno yamechanganyana nimekosa mtiririko.
Title unasema umeelewaKuna kipindi nikiwa mwanafunzi nilipopita JKT, kuna afande aliwahi kusema kuwa mheshimu mno mkeo unayelala naye kitanda kimoja, kwani kukuua ni dk 0 tu.
Akatoa na mfano kuwa je, akikuwekea sumu au kukunusisha dawa za kukuua, ukiwa usingizini utapona? Jibu ni hapana!
Tuwaheshimu wake zetu, wana siri zetu nyingi mno, wakisema wamwage tumekwisha. Pia ogopa sana mtu unaye-share naye kitanda.
Nawasilisha, uzi tayari.
Wakubwa hatuongei uwongo
KabisaaaaHaya bwana watayakuta huko wakijaaliwa.