Nimeelemewa kwa hili

Nimeelemewa kwa hili

Binadamu bhana,tukichoka tunaongea lakin wakati unamla na yeye anaifinyia kwa ndani na kutafutiwa kaz kabisa ulikuwa kimyaa
sikujua kama ntafikia huku
 
Kabla ujamwambia ushauri ulopewa hapo juu.kwanza tafuta kazi.

Wakati huna kazi ulimuona wa maana sasa hivi una kiburi?
Jiandae.
 
Nimepitia comment nyingi wanadai umuombe ...umuombe.

Kikweli Neno omba ni kukiri udhaifu Kwa mwanamke na kisaikolojia atakudharau na kukuona upo chini yake hufurukuti.

Cha kufanya kuwa juu yake na usimletee habari akakuhisi umepata mwanamke mwingine hivyo atapata wivu na kulianzisha ambapo kibarua chako kitakua mashakani.

So kuokoa kibarua chako jifanye unampenda Sana na unataka kuanzisha familia na yeye na kumlazimisha ukamtambulishe kwenu ili process za ndoa zianze[emoji16][emoji16] na usioneshe utani kuwa serious.

Akikuomba afikilie mpe muda akirudi agenda ya Kwanza iwe hiyo Hapa automatically Utakua umemuonesha uwanaume wako na kumtia hofu juu yako ile ambayo wanawake wanayo juu yetu. Hapa utamuweka kwenye wakati mgumu Sana WA kuamua kati yako au ndoa na familiar yake......................... Baada ya hapo..................................... Atakupa ruhusa ya kutafuta mchumba umpendae............................ Ila atakupa onyo LA kuto achana na yeye....... Humo kwenye desh maneno mengi naona uvivu kuandika
 
Matatizo hutokea kwa sababu mbili :
1. Kufikiri bila kufanya maamuzi
2. Kufanya maamuzi bila kufikiri


Kazi ni kwako, kuamua mapema ni bora zaidi.
 
Nimepitia comment nyingi wanadai umuombe ...umuombe.

Kikweli Neno omba ni kukiri udhaifu Kwa mwanamke na kisaikolojia atakudharau na kukuona upo chini yake hufurukuti.

Cha kufanya kuwa juu yake na usimletee habari akakuhisi umepata mwanamke mwingine hivyo atapata wivu na kulianzisha ambapo kibarua chako kitakua mashakani.

So kuokoa kibarua chako jifanye unampenda Sana na unataka kuanzisha familia na yeye na kumlazimisha ukamtambulishe kwenu ili process za ndoa zianze[emoji16][emoji16] na usioneshe utani kuwa serious.

Akikuomba afikilie mpe muda akirudi agenda ya Kwanza iwe hiyo Hapa automatically Utakua umemuonesha uwanaume wako na kumtia hofu juu yako ile ambayo wanawake wanayo juu yetu. Hapa utamuweka kwenye wakati mgumu Sana WA kuamua kati yako au ndoa na familiar yake......................... Baada ya hapo..................................... Atakupa ruhusa ya kutafuta mchumba umpendae............................ Ila atakupa onyo LA kuto achana na yeye....... Humo kwenye desh maneno mengi naona uvivu kuandika
kuna kitu nimesahau tu kuongezea katika hii mada yaani kwa sasa kaanza malumbano kwenye ndoa yake akidai talaka na vikao kila kukicha lakini mume kagoma toa talaka naogopa mno nikijulikana mimi
 
Huwa wanasema ukweli humuweka mtu huru...

1. Umeshajua kwamba unachofanya sio sawa, hii ni hatua muhimu kwa mtu kujirudi katika jambo lolote baya.

2. Tafuta kazi mahali pengine, sio kwa kushikwa mkono tena.

3. Kuwa muwazi kwa huyo mama kwamba, waona unalofanya ni kosa na hutamani kuendelea tena na kosa hilo.

4. Usianzishe mahusiano mapya kabla hujamalizana na huyo mama, utaishia kumuumiza mtu wako mpya...
 
kuna kitu nimesahau tu kuongezea katika hii mada yaani kwa sasa kaanza malumbano kwenye ndoa yake akidai talaka na vikao kila kukicha lakini mume kagoma toa talaka naogopa mno nikijulikana mimi
Kama anamsumbua aliye naye ina maana hata akiachana naye akawa nawe, haina maana atatulia nawe...
 
kuna kitu nimesahau tu kuongezea katika hii mada yaani kwa sasa kaanza malumbano kwenye ndoa yake akidai talaka na vikao kila kukicha lakini mume kagoma toa talaka naogopa mno nikijulikana mimi
Anataka ahamie kwako muishi kama mume na mke.
 
Mkuu kusema kweli upo kwenye deep shit. Ila mi nakushauri utumie akili katika kulimaliza hili tatizo, ili usije ukaumia au kupoteza kazi.

Njia ya kwanza unayoweza kutumia, ni kumsababisha mwanamke mwenyewe akuache, bila ya yeye kujua kama wewe ndio unamuacha! Hapa unaweza kutumia njia mbalimbali mfano anza tabia ya kufanya yale mambo ambayo huyo mwanamke hapendi kabisa! Pia unaweza kuanza kujidai umepungukiwa na nguvu za kiume, yaani ukikutana nae jitahidi mashine isisimame kabisa au ukipiga kimoja baas ujidai huna nguvu tena. Ikishindikana kabisa jidai ata unamuomba 0713 yaani we fanya mambo yatakayomfanya akuone hufai na akupige chini mwenyewe! Na akikuambia anakupiga chini wee jidai kuangua kilio sana na kumpigia magoti ili asije akahisi kitu.

Njia ya pili ni njia ya kishetani ambayo unamchana laivu kwamba we na yeye basi maana unataka kuendelea na maisha yako. Ili njia hii ifanikiwe na wewe uwe salama, ni lazima uwe na "insurance". Yaani uwe na kitu ambacho unamuambia kabisa kwamba akimwaga mboga na wewe unamwaga ugali! Mfano, hakikisha una screenshot chat zenu/sms za mapenzi zikiwa zinaonyesha jina lake na umuambie akifanya chochote unazituma kwa mumewe. Ukiona hiyo haitasaidia, njia nyingine nzuri ni kumpiga picha /video za uchi kwa siri na uzisevu, umwambie akizingua tu unaziachia mtandaoni! Ila ukishampiga mkwara unazifuta fasta usije ukaziachia kweli maana na wewe akili yako inaonekana sio nzuri.
 
Binafsi ili swala lingekua chini yangu ningelimaliza kirahisi sana,

Cha kwanza ni kujiamini, muite muweke wazi kwamba huna mpango wa kuzaa na mke wa mtu uko tayari kwa ajili ya mapenzi tu, mwambie ivi live uku ukionesha u-serious mno akileta maneno na kuja juu mkate kibao, atapoa,

Cha pili punguza kumtafuta kila mara acha awe anakutafuta yeye, pia akikutafuta mjibu baada ya siku moja au usimjibu kabisa, epuka kuonana nae mkwepe uwezavyo,mmblock na kum-unblock kila mara,


Cha tatu usianzishe mahusiano yeyote kwa sasa na mtu mwingine mpka utakapofanikisha kuachana nae,

Cha nne mfanyie visa vya kila mara e. g mle kimoja tu, akifanya kitu kidgo unakua mbogo juu yake, akileta mdomo kidgo kibao,

Hayo yatampunguzia interest na wewe pia atafifisha fujo zake uko nyumbani,kwani ataona wewe hueleweki.

Finally usioe aliyekua mke wa mtu ivyo spiritual ina effects zake keshanajisi ndoa yake kwa kuchepuka alafu wewe umeweke ndani hapana, yote haya yatafanikiwa ukiwa MWANAUME, tegemea na yeye kujibu mapigo mbali mbali kama fitina kazini etc....

Nakuombea ufanikiwe.
 
1;Chanzo cha ukaribu wenu ilikuwa nini
2; Kama unapata mshahara mzuri why akikufanyia figisu usitunze ulicho kivuna ukaanzisha biashara au mradi wako na maisha yakaendelea
 
Back
Top Bottom