Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
Habari za weekend wakuu?
Naomba niende kwenye mada husika, iko hivi nina mahusino na mke wa mtu kwa muda wa mwaka sasa, huyu mwanamke nimekutana nae katika mazingira ambayo mimi sina kazi inayoeleweka kabisa yaani tqngu nimalize masomo yangu ya chuo kikuu, sasa yeye kaangaika sana kunitafutia kazi hadi tunavyoongea nipo kazini kutokana na juhudi zake nipo kwenye kazi ninayoipenda nakula mshahara mzuri tu na maisha yanaendelea.
Kilichofanya nifungue huu uzi humu ni kutaka kuomba msaada nini cha kufanya ili niweze achana na huyu mke wa mtu ukizingatia yeye ndie amekolea kweli namimi naogopa mno baada ya kuona nipo kwenye hatari nisiyoitegemea na yeye tangu nipate kazi penzi ndio limekorea kweli na nkitaka kuanza dalili za kumpotezea hunijia juu sana na kunitishia sasa wakuu naombeni ushauri nini cha kufanya.