Nimedukua Mawasiliano ya Mke wangu- Weka Mbali na watoto!

Mkuuu Pole,Ila nasikiaga et wazungu wabaridi Sana huko chini na wanamtaro Mkubwa kwasababu hawaoshi Mara kwa Mara hadi waende hospital kuoshwa tena baada ya miez kadhaa,Ni kwel?
 
Usioe mzungu aisee
Mm aliwahi cheat wala sikushtuka,wkt tunakula mezani akaanza kulia na kuniambia kama X wake katoka vitani Iraq kamhurumie so jana na leo wamefanya sana sex
Kwa upole nikauliza wapi mlipofanyia,akanijibu humu humu ndani kwetu ninapokuwa kazini
Kumuuliza sasa mtaachana lini?Akanijibu akirudi Iraq miezi 9 ijayo nitamwambia mm na yy basi
Hawa weupe ni wehu!
Ulivyoambiwa ivo ukaamuaje?Au unaenda kazini tena unakaa muda mrefu ili wife ashughulikiwe na mwanajeshi kutoka iraq
 
Habarini za mihangaiko!

Mimi nimeoa yapata miaka 7 iliyopita na tumebarikiwa na mtoto mmoja mpaka sasa.

Mahusiano yetu hayajawa na utelezi japo natambua ni kawaida kuwa na milima na mabonde Ila kuna kiasi. Mimi nimeoa Unyamani-Uzunguni kwa maana hiyo. Toka tunaanza mahusiano wakati huo, mpenzi wangu amekuwa akibadilika taratibu mpaka leo hii hali siyo nzuri kwa kweli.

Mara ya kwanza kuna siku tulitoka out usiku tukaenda kiwanja kimoja kipo karibu na Ubalozi wa Uganda Oysterbay ndo vurugu zilipoanzia. Mimi sinywi pombe, sinywi wine, sivuti aigara kwa kivupi, situmii kilevi chochote kile na haya ni maamuzi yangu lakini pia yanachangiwa na familia yangu. Mzee wangu ni mtumishi wa Mungu (Askofu) so nimelelewa kwenye Biblia zaidi.

Pamoja na msimamo wangu huo, sina shida kabisa mpenzi wangu au mke kupiga gambe kama anaweza kuicontrol ili isiniathiri kwa maana ya kuzaa mengine katika mahusinao. Sasa siku hiyo tupo Mimi, mpenzi wangu na mgeni wetu alikuja kututembelea ndo nilikuwa dereva coz wao watoe wanapiga gambe.

Muda ulivyoenda niligundua mpenzi ameanza kulewa na kule kucheza na mambo mengine niaona tuondoke. Kama dereva nilimsihi mara kadhaa akagoma, nilichokifanya nilimuomba mgeni tuondoke na kweli tuliondoka tukapitia Kona Bar kununua nyama pale moto mpaka home. Tulikuwa tunaishi karibu na Whitesands hotel.

Ile nafika getini nasubiri mlizi anifungulie mpenzi wangu naye akawa amefika na Taxi Ila alipandisha mzuka balaa akaanza kunifokea mara huyo kanirukia, nilichezea vitasa vya hapa na pale matusi nini mbele ya mgeni wangu na mlinzi Ila sikufanya chochote zaidi ya kumdhibiti alafu nikambeba tukaingia ndani tena nikampandisha ghorofani kwa kumbeba.

Kesho yake nikamkalisha kwa maongezi yenye akili sana Ila nikamalizia kwa kusema yeye ndiye aliyeleta ugomvi wa kupigana kwenye mahusiano yeto so asije akalalamika ikitokea huko mbele ya safari. Ni kweli baada ya hapo amewhi tena kuninasa vibao vya hapa na pale na mimi sikumbania kila ilipobidi nilimkumbusha kwa vitasa.

Ishu ya leo iko hivi, baada ya kuingia kwenye ndoa, mke wangu alibadilika japo siyo sana but tumekuwa na ugomvi ambao anauanzisha yeye, siyo mke mwenye kusema anaweza kuongea na wewe kwa heshima. Ni mtu wa kufoka, kutukana na hakuna sekunde unaweza kusema sasa tuna enjoy maisha. Kuna wakati hata kwenye kugegedana katikati anaweza kuanzisha varangati.

Nikawa nimechoka nikapata mchepuka so stress zikiwa nyingi nipo town na mtoto wa kibongo maisha yakawa yanasonga. Ila kwa sasa ni muda tumehamia Unyamwezini long time kidogo ndo kabisaaaaaaaa mambo yameharibika mpaka yeye mwenyewe akaanza kwenda kwa washauri wa ndoa baadae akanishawishi tukawa tunaenda wote.

Juzi kati nilirudi bongo likizo kidogo nikaruka majoka nini basi ilimradi burudani. Ila kwa kipindi kirefu mwenzangu anahubiri divorce mimi nakataa kabisa.

Siku moja tumekaa mezani akanipa simu yake nimrekebishie kitu nikazama mpaka kwenye WhatsApp, loh! Nikakuta kuna njemba anawasiliana naye mambo ya mapenzi duh! Ila sikuonyesha kushtuka nikamwambia tu kwa kucheka "aisee kumbe na wa kuchukua nafasi yangu ushampata?" Nikatumia akili ndefu sana kumuondoa wasi wasi baadae alifunguka hasa akaniambia kila kitu kuhusu jamaa maana nilimuambia naona ni muda wa divorce so akafurahi kwamba atakuwa na huyo njemba.

Nilikuja kugeuza kibao pale alipoanza sasa kufanya kama anataka kuharakisha hiyo divorce kwasababu ni kweli hapa nipo tayari Ila kuna mambo naweka sawa so sikutaka hiyo haraka alafu nilitaka nimsogeze dogo (mtoto) angalau afiikishe umri fulani so nikampiga biti baadae yule jamaa ilibidi amuandikie stop notice coz walikutana kwenye dating websites which nilikuja kugundua alijiunga since last year.

Hapo nikaanza kutafuta namna ya kunusa anachokifanya ndipo nilipoamua kudukua mawasiliano yake ya WhatsApp mpaka leo kila kitu ninacho kiganjani yapata miezi miwili ila sijawahi kuonyesha hata dalili kwamba ninajuwa chochote.

Hatua nyingie huyu bibie akafungua tena email address kama tatu tofauti tena za umafia wake sasa ambacho hakijui ni kwamba najua patern yake ya kufungua simu so huwa anaweza kuacha simu home akaenda zake kidume nikapata nafasi ya kumnusa zaidi Ila dalili sionyeshi.

Katika kunusa huko nikaingia kwenye email moja nikakuta mawasiliano yake na wanaume kama watatu hivi nikapiga screenshots za kumwaga nikatumia WhatsApp yake kujitumia then nikazifuta kwenye chat na kwenye galary so ushahidi ninao mimi japo napanga kuingia tena kwenye email yake nifanye settings kwamba kila email ije kwangu kwa bcc (Black Carbon Copy) ili niya nyake mubashara mawasiliano yake ya email.

Ifahamike kwamba natambua tunaachana ila wazee hawanielewi na siwaambii madhaifu ya mke wangu coz naamini katika kumlindia heshima pamoja na matatizo meeengi mfano Leo ni mwaka wa tatu najipikia mke hanipikii kwasababu amekataa. Huu ushahidi ntatumia kwa faida yangu.

Muda si mrefu ntarejea bongo nikajitafutie mke atakayenifaaa.

Wewe ungefanyanje?
Pole sana MKUU ila kwa ushauri achana nayo kufuatilia sana mambo ya mapenzi unatajiumiza moyo wako bure bora akili unayotumia kuwaza jambo hilo utumie katika kupanga mipango yako na mwanao kuliko kumfuatilia huyo mwanamke.
 
Kuna ki2 watu wengi wanakosea
Mungu alivyo tuumba mwanzo alisema inabidi mme amtawale mke, ilo ni andiko na liko kwenye biblia
Sasa nyie mnajifanya kuwa NICE GUYS
BAD BOYS sikuzote hawaachi ovyoovyo ata wanawake zao kuachana nao ni vigum labda aamue mwenyewe
Sikuzote wanawake wanatafta ki2 wasichoweza kukipata
Na hiyo inamaanisha kuwa na mwanaume ambae haeleweki

We kikawaida ushaona mwanamke anakufata na kuanza kukupa vitasa, inamaana hakuheshim na kama akuheshim kuna mtu anamuheshim (neno la Mungu husimama)
Inabidi mjifunze kuishi na wake zenu lasiivyo utajiumiza
Ukiwa NYC GUY Utaumia mpaka uungurume
 
mhn! angekuwa mswahili ningejenga hoja nzuri za wewe kuendelea naye lakini wazungu sina majibu ya kutosha kwakuwa wao huwa kuachana ni kawaida sana wanapenda ghafla na wanaacha ghafla hawana uvumilivu na uhusiano pole sana
 
Hapa nimejua point ya mtu fulani kutopenda kuoa wazungu.

Pole wazungu wazuri kwa ku date tu ndoa hapana, maana ni wazuri kuwahonga.

Hauko peke yako kuna mwenzako yupo huko anasema kuanzia chakula, kufua nguo, usafi wa ndani ni yeye, mwanamke ni tv, kuchati na kulala inshort anaendeshwa kama gari bovu,

kinachomuuma zaidi akiendaga ukweni hakuna heshima . Alisema "ukweni wanamuthamini paka wao kuliko mimi, care anazozipata paka ni zaidi yangu"

ushauri fanya maamuzi magumu.
Hahaha nimecheka km mazur, care ya paka inamzidi yy
 
.kwa kuwa watu nawaoaminia hawapo uzalendo umenishinda na comment.

Mkuu, ndoa za kikristo hazivunjwi! VUMILIA PULIZ! Kwanza wanawake wote wana cheat utaruka mkojo ukanyage kinyesi.

Na mtoto mkuu, humuonei huruma alelewe na wazazi wawili!! Hata kama mkiachana mtoto abaki na mama yake huko nje usimlete kwenye laana huku hasa kama ni wa kiume tunataka kupunguza idadi ya mafurushi.

Mkuu usishindane na mwanamke. Wanaokushauri ufanye ubabe humu mwenyewe ndoa zao hoi kutwa wanapigiwa...hata chumbani kwao shughuli imekuwa chore wengine zilisitishwa Siku nyingi, ubabe na mapenzi wapi na wapi.

Mkuu jifunze kupeti ndo palikuangusha...temebelea hapa ujifunze mbinu https://www.jamiiforums.com/threads...a-ndani-ya-ndoa.1202964/page-17#post-19789167

mwanamke kupetiwa mkuu mdomaana unapigiwa na MUZUNGUUU

Tena kwa miaka mitatu unakorofisha jikon, hapa DALA nikupongeze mwanao kapata daddy wa ukweli, lakini mkuu ongeza maujuzi..usikute alikuwa anakupiga vitasa kwasababu unaweka chumvi nyingi manake kuna kesi za wanawake kupigwa Huku kisa wanajaza michumvi.

Halafu usiseme unajipikia sema unampikia mwanao au vipi...kumbe ulitaka mwanao alale njaa, ndo uzazi huo kuwa baba sio kukojoa utie mimba eti.

Bila kusahau mkuu OMBA PESA...kujifanya kidume una run show Kakuona fala, hela zake anahonga huko anatoa wanaume kwenye videti, tena mzungu 50/50 mkuu OMBA PESA...hakikisha mshahara wake wote unaishia ndani, ataenda wapi! Hela zako sevu tutumie ndugu zako Huku, unga sahivi elfu mbili!! NJAAA.

Halafu you make a terrible dad, the best gift you can give your kids is love their mother. Unapigaje mama yao. Hata mkipigana chumbani mjue anajua, TRUST ME.

Please consider your child mental health. Huo uadui wenu una wa affect SANA, bora muachane muwe marafiki kuliko muishi kwa tension, they sense it.

Na mkuu usituchafulie harakati, feminism is about equal rights and opportunities btn the sexes. Mimi hata house girl wangu simrekebishi mbele ya wageni sembuse mume...sema umeoa uswahilini huko, an uneducated, dysfunctional family hata Huku wapo.

Mwisho pole sana, muache uje uoe huku utamfanyia vituko vyote bado atakulamba lamba utajihisi mungu mtu. :)

OK bye for real now lol
 
Yani mtu unajua kabisa kwamba unatakakumuacha alafu unakusanya maushashidi ruuuuundo, unataka kuandika kitabu??.
 
Ulivyoambiwa ivo ukaamuaje?Au unaenda kazini tena unakaa muda mrefu ili wife ashughulikiwe na mwanajeshi kutoka iraq
Nikaondoka nyumbani
Hapa mkiachana MKE ana baki na mali zisizo hamishika sababu custody ya watoto automatic anapata mke!
Wazungu ni wahuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom