Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
mkuhu pole sanah. hunatakiwa huhangalihe kwa huzuri sanah time hingine wanahongeha huhongo, hope humenihelewa mkuhu.
Watu wanafanya hadi ndugu zao,we wasema shemeji...
pole sana!!!
Pole sana ila punguza presha,tulia utaharibu mambo.Chukua simu ya mdogo wako kwa kumshtukiza utajua ukweli;Kingine jitahidi kuongeza siku za kukaa nyumbani kulea familia.Siku mbili mme hazimtoshi utaibiwa kila siku.
Inawezekana jina la mdogo wako linatamkika kirahisi na hivyo mmeo anaweza kumbembeleza kirahisi kuliko lako la BENOKOLONGOKONONGOSE!