LitmusPaper Member Joined Dec 2, 2012 Posts 33 Reaction score 12 Jan 3, 2014 #101 Demu atakua umekuona nuksi kweli! Atakua anajuta kutembea na wewe japo hawezi kukwambia. Nani hapendi kuwa ndani ya v8....
Demu atakua umekuona nuksi kweli! Atakua anajuta kutembea na wewe japo hawezi kukwambia. Nani hapendi kuwa ndani ya v8....
masatujr1985 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 1,980 Reaction score 789 Jan 3, 2014 #102 Fiction. Huu msimu wa likizo nao taabu kweli
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 10,103 Reaction score 15,048 Jan 6, 2014 #103 mama la mama said: So unaenjoy mkiingia mahali watu wanastop kuwaangalia?? Click to expand... Haiumizi na sina la kufanya juu ya hilo... ila ni reaction ambayo huwa tunaipata all the time
mama la mama said: So unaenjoy mkiingia mahali watu wanastop kuwaangalia?? Click to expand... Haiumizi na sina la kufanya juu ya hilo... ila ni reaction ambayo huwa tunaipata all the time
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,321 Reaction score 3,439 Jan 6, 2014 #104 by the way hakuna aliyezaliwa nazo....
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,321 Reaction score 3,439 Jan 6, 2014 #105 kabanga said: utakonda sana wewe.... Click to expand... alafu mwanzo nilifikiri kagongewa kumbe aktishiwa nyau tu..
kabanga said: utakonda sana wewe.... Click to expand... alafu mwanzo nilifikiri kagongewa kumbe aktishiwa nyau tu..
D dililia New Member Joined Jan 5, 2014 Posts 4 Reaction score 1 Jan 6, 2014 #106 Ungemtemea koozi na angeshuka kwenye ndinga na ww nae ungevimba c uko na mtoto tena
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,385 Reaction score 8,645 Jan 6, 2014 #107 Hebu wakuache na demu wako bana, lol! pesa zao na mademu wazuri wanawataka, kwani hajamuona wema sep huko sinza?
Hebu wakuache na demu wako bana, lol! pesa zao na mademu wazuri wanawataka, kwani hajamuona wema sep huko sinza?
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,862 Reaction score 2,157 Jan 6, 2014 #108 haha hahaa haaaa u made my day
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,646 Reaction score 19,042 Jan 6, 2014 #109 Mndengereko said: alafu mwanzo nilifikiri kagongewa kumbe aktishiwa nyau tu.. Click to expand... ndio maana nimemwambia atakonda, hasa wakianza kumgongea....
Mndengereko said: alafu mwanzo nilifikiri kagongewa kumbe aktishiwa nyau tu.. Click to expand... ndio maana nimemwambia atakonda, hasa wakianza kumgongea....
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,939 Reaction score 3,258 Jan 6, 2014 #110 jana kaumbukaje .....lol.....