Du nimecheka sana ndugu yangu yaani demu mkali eti anapunguza ukali wa maisha, maybe kama unataka demu mkali akupunguzie ukali wa maisha ni kwa njia ambazo siyo sahihi kama vile kuliwa na mapeshee then anakuletea hela lakini kwa akili ya kawaida eti atakupunguzia maisha umebugi meeeeeeenJana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
Mbona hakuna udhalilishaji hapo zaidi ya jamaa kukuonea wivu tu! Tena anakuheshimu na kukuogopa kama ukoma, huyo kakujenga sana MkuuJana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.[/QUOT
Unalia nn ss fanya kazi umtunze mkeo ukizubaa wanachukua ww! Mafiruni hayana hiyana haya!
Napita lkn hebu wekw picha basi tumwone.
kwa hiyo unanikatisha tamaa au?

nitafute hela gani, ya kula ninayo, au unataka niwe mwizi kisa mwanamke, hapo ndo mwisho wangu.
Kwani wewe mgeni na mashori? Siku hizi mapenzi bila mapeni ni ugonjwa wa moyo kaka.