Nimedhalilika ...

Ulichokifanya ni sahihi , kwa sababu tukirudi kwenye uhalisia huwezi kumtetea bwana wake ukamuangamiza rafiki yako 😂😂 rafiki yako mmetoka mbali.

Huyo shemeji ungemchana nae , aache mambo ya kijinga
Nasubiri siku wanitafute Tena waanze Nye Nye Nye watanikoma😁😂😂
 
Mtoa mada nae kipengele kweli yani kabisa una anza kushauri watu waachane kweli ?kuna watu wa ovyo sana mahusiano me sitoi ushauri
 
Yaani siwezi kujichanganya Tena
 
Hatutofautiani sana Mimi watu wananiambia niwashauri kuhusu mapenzi, sjui uhusiano, mara akuambir hv mara vile

Mm nshawapiga onyo full stop kuniletea habari za uhusiano wao sihitaji na wamepunguza
Saizi na Mimi nawapiga full stop aisee
 
Usiwe na wasi wakilivurunda huko dem lazma akutaJe tena kama reference ya majuto
 
Huyo mwamba hana kifua,.
Kama nawaona mlivyoinamisha vichwa chini🥲😂😂
 
Mimi nilimto dada yangu kwanye mahusiano yaliyokua yanamuumiza, tena akaomba akae kwangu kwa muda nikimsaidia mipango yake ikae sawa, hee hata nwezi haukupita shemeji anamrudisha pale kwangu, mara wako zanzibar akapitiliza huko huko hadi vitu vyake ni shangazi yetu alivifuata, mpaka mda huu shemeji yangu ananiona snitch na bado anamtandika matukio
 
Ona Sasa,. Na hapo ukute anaona aibu kukufata Tena ushauri🥲
 
Mtoa mada nae kipengele kweli yani kabisa una anza kushauri watu waachane kweli ?kuna watu wa ovyo sana mahusiano me sitoi ushauri
Asa unamuona mtu anateseka jamani ufanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…