Nimedhalilika ...

Aisee
 
Wala hujakosea Kuna mahusiano mengine ni yakuyaulia mbali Sema basi tu Kuna muda mmoja anakuwa chizi mapenzi hta ang'olewe meno yote ya barazani bdo yumo tu ikifikia huku hutakiw kutoa Tena ushauri
 
Mabinti wakiwa wanaomba Ushauri
Wanatia Huruma sana
Ndio maana akamsaidia
 
Punguza sana ushauri watu wanamipango yao.

Ila sasa siku nyingine kabla hujaanza kutiririka penda kuuliza uko na nani kuepusha fedheha nyingine mbeleni
 
Huo ndo mshahara wa kufatilia maisha ya watu na kujifanya Consultant wa mahusiano ya watu tulia ulambe dawa
 
Njoo
N
Njoo na jogoo mkubwa mweusi, mchele kilo 10, mafuta lita 5 na viungo vya pilau nikutengenezee dawa ya kuwgeuza ndondocha
 
Ebu nitumie namba ya simu inbox, ili nijue na mimi nakushauri vipi hilo suala ☺️☺️☺️☺️☺️.
 
Wanasemaga wapenzi hawashauriwagi eti rafiki na yote ni kwa ajili ya vitu kama hivyo.

We unajipinda kumshauri mtu kumbe saa hiyo amekuitikia sababu alikuwa na hasira , zikiisha anarudi wanatakana radhi mambo yanaendelea.

Pole rafiki.
 
ulishaambiwa ndugu wakigombana shika jembe ukalime
 
Poleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…