Nimedate na mademu watatu

Nimedate na mademu watatu

endelea kupiga mbona idadi ndogo sana kiongoz
 
Jitahidi tuu..tafuta na rafiki zao upige mzigo
 
Ugavi wako wa utamu utafikia kikomo pale utakapoanza kuvaa pampas kutwa nzima kwa sababu ya kuharisha mfululizo kama bata....
 
Ugavi wako wa utamu utafikia kikomo pale utakapoanza kuvaa pampas kutwa nzima kwa sababu ya kuharisha mfululizo kama bata....

Kweli mkuu! Ila kwa watoto wa sasa ni wachache wanaowaza mbele.

Ila umeshamshtua huenda akalifanyia kazi.
 
mkuu jua na wewe marafiki zako wanapiga tu....nayeye akiona rafiki zako anawapanumber kimya kimya wanamalizana.so mla cha mwezie na chake uliwa
 
Back
Top Bottom