Nimedata na mchepuko

Nimedata na mchepuko

TUPAC WA MWAKALELI

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Posts
354
Reaction score
109
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu
 
unahitaji maombi ya nguvu. n mtanfulize Mungu kwny maisha yako yote.hiyo sio hali ya kawaida
jaribu ku.spnd tym na mke wako na punguza mawasiliano na huyo MCHEPUKO. bdksh kila kitu kwny maisha yk n mshirikishe mkeo kwny maisha yako zaid i mean as ongeza UPENDO
 
Najaribu nashindwa akili yangu yote iko kwa mchepuko. Niliamua kubadili namba ya simu na kukata mawasiliano nae, nikajikuta nimeenda kwake, nikamkosa na nikaacha namba yangu mpya ya simu. Yangu jana nimepokea mshahara, nikajikuta nimemtumia wote kwa m pesa
 
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu

Dawa moja chungu sana lakini mshirikishe shemeji hili jambo na utubu
 
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu

hii JF ingekua inacharge per posts, wagonjwa kama nyinyi mngespend pesa zenu kununua dawa na sio kupoteza muda humu

anyway, asipochafuka hawezi kujifunza
 
Mwakalifti, chepuka tu bwana. Kwani ni nini? Ila jiandae kwa matokeo siku ukibambwa.
 
Najaribu nashindwa akili yangu yote iko kwa mchepuko. Niliamua kubadili namba ya simu na kukata mawasiliano nae, nikajikuta nimeenda kwake, nikamkosa na nikaacha namba yangu mpya ya simu. Yangu jana nimepokea mshahara, nikajikuta nimemtumia wote kwa m pesa

Amekuonjesha 'kunku' nini..!!manake wako tayari kufanya chochote ili wakuteke uteketee kabisa hata mkeo na familia yako uisahau
 
mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu

mawazo yako tu hayo, hakuna cha nguvu fulani wala nini, wewe unaendekeza mchepuko tu, mpende mkeo ufurahie maisha, hayo mambo ya michepuko hayana issue , utabaki na stress tu maishani mwako… huku ukikaribia kuambukizwa ukimwi… mpende mkeo…
 
Umependa mwenyewe tu mshahara wote umepeleka kwan hujui kama una mke kama imani yk inakuruhus muowe ili uhudumie kihalali hioni unaitesa familia yk cku akijua na yy akichepuka utajisikiaje????
 
mapenz mmeyageuza SIMU unaweza ukasave namba nying nying
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom