Nimedata na mchepuko

Nimedata na mchepuko

Kuchepuka sio big deal kwangu, nilichomind ni kumpelekea mchepuko mshahara wote. Jeez! How irresponsible father are you? Unatakiwa ufanyiwe maombi inaonekana umeshanyweshwa jasho la maiti wewe. Pole sana sana sana!
 
aisee wewe ni Patrick? maana mkeo analia kwa unavyomfanyia unamjali sana mchepuko na huku home watoto wako wamefukuzwa shule hawana ada wakati baba yao anamakampuni na pia ni wajiriwa na una mshahara mzuri sana, hebu toka huko makonde rudi kwako kawe kama ni wewe.
 
Unamaanisha Komogo nae kakimbia familia?
 
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu

Unataka tukusaidiaje?

Toa namba ya mkeo wenzio wamgeuze mchepuko wao

Otherwise ni kujiendekeza tu..... kwanza u msaliti
 
Unamaanisha Komogo nae kakimbia familia?

aisee kumbe unamfahamu mwambie arudi kwenye familia yake, kale kadada kanampotezea muda tuu, mke wake anamlilia mume wake na inatia huruma sana kwa jamaa kama yule then watoto wake wafukuzwe ada, baba yao anapita njiani anaenda ford la kisasa ni aibu bwana
 
hii JF ingekua inacharge per posts, wagonjwa kama nyinyi mngespend pesa zenu kununua dawa na sio kupoteza muda humu

anyway, asipochafuka hawezi kujifunza

Hawa ndo wa kuhamisha meza sasa. Yule dogo ulimwonea tu.
 
aisee kumbe unamfahamu mwambie arudi kwenye familia yake, kale kadada kanampotezea muda tuu, mke wake anamlilia mume wake na inatia huruma sana kwa jamaa kama yule then watoto wake wafukuzwe ada, baba yao anapita njiani anaenda ford la kisasa ni aibu bwana

haya bana umesomeka
 
jiran mchepuko anadatisha sana ujue ni noma sanaaaaa
 
yaani natamani niungane na wanawake wenzangu yaani mke wako na mke wa P then tuwapate kona kali tuwadunde vibaya sana, yaani ukilazwa hospitalini hapo ndiyo umekaa kidogo itakuwa miezi sita

njoo kwa braza y
 
Kama umeanza kuhamishia mshahara wote kwa mchepuko ni kwamba umeshahamia kwake bado hujabeba tu begi lako. Mtaarifu mkeo kabisa manake hakuna tena ndoa hapo.
 
Ukifikia over 40 michepuko ndio lugha yenyewe

jamani jamani, pia naomba uniambie maana ya ndumbayeye, maana nilikuwa na msaidizi wangu home kwangu ukimwambia kichwa kinauma anajibu mama tumia tumbayeye, ukisema tumbo utajibiwa hivyo hivyo, basi mpaka leo sikuelewa na sijaelewa ndumbayeye ni nini?! nisaidie nijue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom