Nimedata na mchepuko

Nimedata na mchepuko

Najaribu nashindwa akili yangu yote iko kwa mchepuko. Niliamua kubadili namba ya simu na kukata mawasiliano nae, nikajikuta nimeenda kwake, nikamkosa na nikaacha namba yangu mpya ya simu. Yangu jana nimepokea mshahara, nikajikuta nimemtumia wote kwa m pesa

limbwata hilo fanya hima ujinasue
 
Sasa jichanganye tu uuweke ndani utakuja kutuhadithia..... Utauona kama mlenda vile.. Hizo mbwembwe tu za nje ya uwanja ukimuoa vyote anasahau.....
Baki njia kuu... Muwezeshe mkeo akudatishe wewe.... Alaaaa
 
nifanyeje sasa niuache huu mchepuko? maana sasa umeshanipiga marufuku kuvaa Pete yangu ya ndoa
 
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu

Hiyo inatokana na kwamba huko kwenye michepuko kuna vitamu zaidi ya mkeo. Jitahidi uvishinde otherwise utataka unavyovipata huko na mkeo akupe. matokeo yake utataka kumjaribu mkeo tigo...... Michepuka kaka siyo dili
 
nifanyeje sasa niuache huu mchepuko? maana sasa umeshanipiga marufuku kuvaa Pete yangu ya ndoa

Duhhhhh.... Atareeeee.... Alafu siku izi wanaenda adi kwa sangoma...

Mkane tu shetani, kaa kitako na wife jaribuni kukumbushia enzi za uchumba utaona mabadiliko....
Ngoja tuwasubiri wataalamu zaidi mkuu.
 
Mfukuze mkeo uweke mchepuko ndani. Mxxiiiiiiuuuu...!!!!!
 
kila ufanyalo kina malipo na hayo ndo malipo.
asa hv upo kwny chupa ya soda ndo mana umejitambua subiri akuweke kwny chupa ya chai husionekane kabsaaa..Ukomage mtachepukaga na majini wahi kwny maombi bado asubuhi koz ikifika jion utawekwa kwny themosi
 
Hii ni uzembe wa kuendekeza kichwa kidogo cha chini kutawala kichwa kikubwa cha juu......
 
Hawa ndo wa kuhamisha meza sasa. Yule dogo ulimwonea tu.

ni kweli aisee, hawa watoto tutakua tunawatuma waje na ndoo za maji na vitambaa vya kuoshea magari tu, washinde huko nje hadi tumalize bia zetu aisee
 
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu.
Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu

Ulipoamu kuchepuka hukuomba ushauri,sasa umeshikika akili unataka msaada?Tabu wanaume wezangu usianze kuchepuka ukiwa na bifu nyumbani.....chepuka home kukiwa safi hii pekee ndo utaweza ku-balance mzani,vinginevyo ndo km hivi sasa.Pole sana bahati mbaya nilikuwa na ushauri mmoja tu na nishampa mchepukaji mwenzio....hapo wanasema mjini "km umelikoroga,utalinywa"ciao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom