Nimedanganya jinsia yangu

Haya mpigie Baba yako kuwa umepata husband
 
Mmmm Viva89 kwa nini umecheka, plz ushauri wako tafadhali.

hahahahhahaaaa...cz kakutumia laki moja kabsa, mnaona sasa wanaume mlivyo? hahahaaaa...mpesa haijasajiliwa jina? by now kama yupo JF si atakuwa kajua, bwana eeh..itumie tu, akome na yeye kutuma tuma hela hahahhaaaa
 
''Nilichati nae vizuri kwa kujifananisha kuwa mimi demu mpaka jamaa akafikia hatua ya kuvunja ukimya juu ya ile picha nikawa nimemkubalia jamaa.''

1. Umemkubalia nini?

2. Unajifananishaje kuwa wewe ni demu? Huoni tatizo hapo?

''jamaa kanitumia laki moja(100000)na hali niliyonayo Mimi huku si nzuri kwa kweli kiuchumi''

3. Hela uliyotumiwa ni ya kwenda kukamilisha hicho mlichokubaliana hapo juu, kwanini unataka kuitumia?

4. hali mbaya ya uchumi haiwezi kuisha kwa kujifananisha/kujifanya mwanamke.

Mwisho, hii inaonyesha tu hali mbaya illiyopo kwenye mitandao.
.
 
Mkuu inaonekana Wewe niuumin Wa single sex.....just imagin mpenzi wako anaona chatin zenu itakuwaje.......kama so kuitwa bwabwa
 
Mkuu Nelly Paul huyu jamaa nilishindwa kumwelewa kwa kweli maana nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa mi mwanaume ila hata hakusitukia hilo.
 
T 1990 ELY

We peleka tigo hiyo! Mstori mreeeeeeeeefu, unafanana kabisa na Hiyo kilo! Pambmbaaaafu weeee!
unastukiaje umeingia kwenye grupu kama si njia ya kujitongoshzesha kwa vidume!
mnatuharibia masoko yetu mbwa we.
 
Last edited by a moderator:

Jembe kwenye Msg Kuna Mwandiko?????
 
hahahahhahaaaa...cz kakutumia laki moja kabsa, mnaona sasa wanaume mlivyo? hahahaaaa...mpesa haijasajiliwa jina? by now kama yupo JF si atakuwa kajua, bwana eeh..itumie tu, akome na yeye kutuma tuma hela hahahhaaaa
Viva89 huyu jamaa nilishindwa kumwelewa kwa kweli.Ivi kweli kwa akili tu yakawaida utashindwa kugundua huyu ni mwanaume?? isitoshe laini,namba yangu nimeisajili kwa jina langu la kiume. Dah nipe namba yako viva nikutumie hata elfu kumi(10000)
 
Mkuu Nelly Paul huyu jamaa nilishindwa kumwelewa kwa kweli maana nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa mi mwanaume ila hata hakusitukia hilo.

Siwezi kujua maongezi yenu I mean chating yako wewe na yeye ilikuaje..lakini mpaka kufikia jamaa anakutumia pesa bado ulikua umelifumbia macho huoni hatari?cha msingi mweke wazi mrudishie pesa yake halafu jitoe fasta kwenye group then Fanya mambo yako mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…