Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

Use the same code to cancel confirmation kwa chuo ambacho hikitakii...iweka hapo kama ulivyokuwa unaconfirm
Mm nimepata full admission mocu alaf udsm wamenichagua ila sija confirm nifanyeje ku reject ofa yao ya kujiunga na chuo
 
Mm nimepata full admission mocu alaf udsm wamenichagua ila sija confirm nifanyeje ku reject ofa yao ya kujiunga na chuo
Kama umesha confirm muco basi inatosha hao wa udsm waachie wenyewe tena
 
Habari, suala la kuthibitisha vyuo viwili basi unakuwa automatic disqualified. Lakini bahati iko upande wako bado kwani chuo kikuu cha Dar es salaam wamesasisha mifumo ya uthibitishaji na wameweka kitufe cha [HASHTAG]#unconfirm[/HASHTAG].

ingia katika akaunti yako ya udahili > bonyeza menyu > selection result > unconfirm.

nakutakia mafanikio mema.

Lakini pia ikiwa unataka kutendua uthibitishaji katika chuo kikuu cha Dodoma, andika ujumbe mfupi wenye nambari yako ya mtihani kidato cha nne, kitivo ulichochaguliwa, na maelezo mafupi juu ya utenduaji wa chaguo lako. Nakutakia kila lakheri huko chuoni uendako. Ila mara nyingine unapaswa kuwa makini lijapo suala muhimu katika maisha yako linalohitaji maamuzi yako
Fafanua Hapo UDOM unatuma kwenda number gani?
 
Back
Top Bottom