Hakuna tatizo! Andika SMS kwa chuo ulichamua kukitosa na waambie nilikonfirm kwa makosa! Chuo unachokitaka kikifungua wahi fasta na kujisajili!Nimechaguliwa udom na muce na vyote nimeconfirm vyote nasaidiwaje
Usimdanganye mwenzako Kabla vyuo havijafunguliwa majina yanatudishwa tena TCU so kule wakikuta upo sehem mbili wanakukata tuHakuna tatizo! Andika SMS kwa chuo ulichamua kukitosa na waambie nilikonfirm kwa makosa! Chuo unachokitaka kikifungua wahi fasta na kujisajili!
Mkuu kwel au.?Mbona udom wanadai hawajatoa matokeo
Kwan huu ni ushauli au ndo kutoana povuuu...mzumbe kuna sehem unaweka yes or noMtu kama wewe wala haustahili kupewa pole bali unastahili kuambiwa acha upumbavu, uroho, urafi uchoyo na ujinga! yaani tangia mwezi Wa tano wimbo unaoimbwa ni kuconfirm chuo kimoja badala yake wewe unaona bora ukamatilie nafasi zote wakati wenzako wanasubiri uachie nafasi waichukue.
Kilichokuponza ni kitu kimoja, wote mulioconfirm zaidi ya chuo kimoja bado hamjapata chaguo sahihi wapi na kipi mkasome kati ya kozi mlizochaguliwa sasa mnaona bora mconfirm vyote mtaamua mbelembel kwa mbele. sasa bora TCU wawapige benchi ili mrudie kuomba mwakani mtakuwa mmejifunza
nashkuru kaka ila nimeshaeleza sababu kua ni ubovu wa simu yangu sikua na nia ya kuconfirm udsm kwanzaMtu kama wewe wala haustahili kupewa pole bali unastahili kuambiwa acha upumbavu, uroho, urafi uchoyo na ujinga! yaani tangia mwezi Wa tano wimbo unaoimbwa ni kuconfirm chuo kimoja badala yake wewe unaona bora ukamatilie nafasi zote wakati wenzako wanasubiri uachie nafasi waichukue.
Kilichokuponza ni kitu kimoja, wote mulioconfirm zaidi ya chuo kimoja bado hamjapata chaguo sahihi wapi na kipi mkasome kati ya kozi mlizochaguliwa sasa mnaona bora mconfirm vyote mtaamua mbelembel kwa mbele. sasa bora TCU wawapige benchi ili mrudie kuomba mwakani mtakuwa mmejifunza
na kwanini simu yako iwe mbovu? tuanzie haponashkuru kaka ila nimeshaeleza sababu kua ni ubovu wa simu yangu sikua na nia ya kuconfirm udsm kwanza
Kwa nini watanzania walio wengi ni vilaza?Nimechaguliwa udom na muce na vyote nimeconfirm vyote nasaidiwaje