Nimechukua rasmi kadi ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimechukua rasmi kadi ya CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Jun 13, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Sikuwahi maishani kufikiria kuwa ccm. Hata katika uchaguzi wowote ule sijawahi kukipigia ccm kura. Nimekuwa mwanachama mtarajiwa wa CHADEMA na hatimaye leo nimechukua kadi yangu. Mi ni mwanachama rasmi wa CHADEMA. Hujachelewa ndugu yangu. Tumeshafikia nukta ambayo hatuwezi tena kurudi nyuma, kwa maana ya kukichagua ccm tena. Play ur part, brothers
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hongera sana mkuu, umepiga hatua na karibu katika mapambano ya kujenga taifa safi lisilo na mafisadi walafi.
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hongera mkuu.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mkuu na karibu sana
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  safi kabisa utojutia uhamuzi wako
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Changa la macho hilo! Kadi yako namba ngapi na umechukulia wapi?
   
 7. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Uhuru ni kazi, Uhuru na kazi.
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  utawajua tu walio kinyume nasi. cha msingi ni kusonga mbele wandugu
   
 9. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani maeneo ya posta nitapata kadi hiyo wapi?
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  muda si mrefu watakuja kukupa ramani mkuu
   
 11. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  hongera sana, Raia Fulani
   
Loading...