NAMTUMBA
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,939
- 600
Habari zenu wana MMU, nimekua single kwa muda wa miezi mi 3 sasa. Mpaka sasa nimeshafwatwa kutongozwa na wanaume wawili lakini kwa bahati mbaya wote wanaume za watu!! Na mimi nahitaji mwanaume Aliye single tuyajenge!!! Swala hili linaniumiza akili na linanichosha!! Nifanyeje?
Hata ukimpata single mwenzio bado atatafuta mchepuko wake tena sio mmoja.