kwa nini mtu anapaki wakague?
Je kisheria wana uhalali wa kukagua? Kwa kutumia sheria ipi? Wanasheria mje hapa mtueleze kina
Ruttashobolwa
na wanavyotaka usimame what if ni majambazi ndani ya kivuli cha majembe?
Tazara na veta ni maeneo wanayopenda kusimama.... Binafsi nitasimama kama tu trafiki kanisimamisha, wanasimamisha watu kwa kibali gani?
Angalau tra naweza simama....ila napo kama wapo na trafiki mji umeharibika huu, ajira milioni moja zinaweza kukuketea upotevu wa mali