Habari, hv zle sindano sjui za tetanus, huwa znachomwa eneo la kidonda ama kwa tako ili nijiandae, maana mm n muoga wa sindano. Na yamenkuta leo, na huwa n bure hospitali??

Subiri wiki mbili kisha muone daktari.
Akili itakukaa sawa na sidhani kama utaigopa tena sindano.
Wenzio tunasota hospital muda huu na kuona sindano ni jambo la kawaida wewe unaogopa!