Habari zenu: Tangu niolewe huu ni mwaka wa tatu lakini kuna kitu kinanitatiza huyu mwanaume mara nyingi huwa anapigiwa simu na namba mpya tofauti tofauti nikijaribu kuzipiga wanapokea wadada ukimuuliza anakwambia alikosea namba je hiyo namba yake huwa inakosewa na wadada tuu? Kingine wadada wa ofisini kwao kila siku usiku wanamtakia usiku mwema mara awaalike kwenye mitoko huwa tunaenda nae lakini nahisi huwa wananisanifu kwa nini awe na urafiki na wadada tuu?
Hayatuhusu. Haya ni mambo yenu binafsi wewe na huyo mumeo. JF sio mahala pa kuleta mambo yenu!! Peleka kwa wakwe. Ukiona anaendelea, mtose, tafuta bwana mwingine!!
what do you mean?U Better be harted by truth rather than being conforted by lies..akili kichwan mwako..pole mwaya
Habari zenu: Tangu niolewe huu ni mwaka wa tatu lakini kuna kitu kinanitatiza huyu mwanaume mara nyingi huwa anapigiwa simu na namba mpya tofauti tofauti nikijaribu kuzipiga wanapokea wadada ukimuuliza anakwambia alikosea namba je hiyo namba yake huwa inakosewa na wadada tuu? Kingine wadada wa ofisini kwao kila siku usiku wanamtakia usiku mwema mara awaalike kwenye mitoko huwa tunaenda nae lakini nahisi huwa wananisanifu kwa nini awe na urafiki na wadada tuu?
hata kama ni wewe lazima uumie kwa nini ukwepe kuujua ukweli kisa unaogopa kuumia
mi sikumfosi nikimwambia naenda nyumbani ananiahidi kunifanyia mambo mabaya kuna siku tuligombana nikaondoka ile nafika tu stendi nikakamatwa na police wakanipeleka kituoni nilikaa kama masaa mawili hivi akaniijia sasa mi simuelewi ameshanifanyia vituko vingi vinatia hasira sasa hii ni ndoa au nikutekwa?