Dah! Pole saana... Personally sishangai ulioa chapombe sababu mapenzi hua hayaoni hayo siku za mwanzo... Haya mambo huanza onekana pale ambapo yanaanza affect mahusiano.... Kweli mwanamke kua mlevi kuliko Mwanaume ni mtihani na hio imenionesha kua kweli wampenda na ni mume mvumilivu... mpole... na huna sauti juu yake...
Mvumilivu na Mpole inajieleza....
Kwamba wewe ni mume... uko ndani mkeo kenda kulewa... mpaka yupo chakari na kaletwa na rafikeye... inakua kama utani vile... Ila kaka wanawake saa ingine tunahitaji mwanaume awe mkali kidogo... (IMO) or else...
Huna sauti kwake
nime i-draw from the fact kua analewa kupindukia na bado ana guts za kusema hawezi acha kashindwa... yaani hata ile ya kujidai atajaribu haipo kabisa. Hivo kweli kabisa hakuna hapo suluhisho litakalotokea bila Uamuzi wa mwisho toka kwa mkeo... otherwise mpe Ultimatum...
Pole saana kaka...

hebu google 'how to help an alcoholic'. kuna kitu inaitwa tough love. weka kanuni chini mkubaliane,hata kama ni mlevi,akinywea nyumbani hazinogi? na wakati anapombeka ww unakua wapi kwa mfano? pole sana, napata picha jinsi gani ilivyo frustrating.
hahah,hii hatari nishawahi kuianzisha ila nilistuka mapema,nikampiga ban mapemaaaa!!
Mkuu,yeye anafanya kazi kama mimi ninavyofanya kazi...lakini mara nyingi mimi ndo nawahi kurudi maana anadai ofcn kwao kazi nyingi...anapochelewa ndo wakati mwingine anarudi kalewa..nampenda sana mke wangu.
Lakini zungumza ukweli we hunywi? Nan kamfundisha? Ilo suala la magogoni "ikulu" ningekuwa mimi cjui ningemmeza?
je umeshajaribu kukaa nae karibu na kuongea nae ?? huwa unapata muda wa kutoka nae??
mkuu mimi cnywi kabisa na cjawah kunywa...ninachokiogopa ni watoto kukosa muda wa kuwa na mama yao maana hana muda huo.
kaka sina cha kukushauri kuhusu ndoa yako lakini one spouse akiwa alcoholic inakuwa keroro kwa mwenzake yani mwambie aache pombe unless otherwise kuna siku utamwokota mitaroni au hatarejea home kabisaa kwani huyo ni mlevi ikiwa inafikia anashndwa kuendesha hata usafiri wake bt i have an intuition that you are hiding something kwan yawezekana ndoa yako kuna chaos zisizoisha
ndoa izi pole kaka fanya maombi
loh na huko kuloa ikulu tena balaa
mkuu chaos ni hyo pombe na pili ni muda wa yeye kukaa na watoto...
Ikulu kumeloa nini?
kama habadiliki tafuta wazee myajadili hakuna jambo gumu hapo