ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Wakuu
Nimekuwa mfuasi mkuu wa timu kiba tangu muda mrefu lakini muda wote huu ni wazi kabsa hii timu haitupi mashabiki wake furaha kabisa
Tumekuwa tukiburuzwa na WCB kila siku, Diamond na wenzake wanatoa ngoma mpya kali kila baada ya ngoma
Alikiba yeye ni porojo tu na tunajipendekeza tu kumpenda huku yeye hatuhitaji mashabiki wake maana hatusikilizi
Kiba toa wimbo mpya sasa na hivi sasa nimekuhama na nimefuta nyimbo zako zote hapa nadownload ngoma zote za wasafi
Kwaheli timu kiba
Naombeni mnipokee huko WCB