Nimechoka na mashugamami...

Tatizo langu nahisi linazidi kila nikimpenda mwanamke namkuta amenizidi UMRI mpaka nachoka.... kisa UMRI.

CANCELING PLEASE

Pole sana kijana. Kwanza fanyia uhariri hilo neno "canceling" nadhani ulimaanisha "counselling".
Pili, sidhani kama uko serious na mahusiano, nahisi unajiingiza kwa ajili ya shinikizo, kuiga aumazingira tu. Nakushauri uachane kabisa na masuala hayo hadi pale utakapokuwa serious kwa mahusiano ya kudumu, yaani NDOA.
 
Sasa wewe si unatafuta utakaoweza kuwaegemea unafikiri mademu below your age wana kitu?,wachache sana,sanasana wewe ndo unatakiwa uhudumie,utaweza?
 
Hayo nayo maneno mkubwa ndio maana nimeomba ushauri
 
Tatizo langu nahisi linazidi kila nikimpenda mwanamke namkuta amenizidi UMRI mpaka nachoka nimeingia kwenye mahusiano wa kwanza tulikua miaka sawa ila tukashindwana wa pili kanizidi miaka miwili alafu tukazinguana sasa niko SINGO ila naogopa kuingia kwenye mahusiano tena kisa UMRI.

CANCELING PLEASE
\

Counseling=CANCELING?, Uwezekano: wewe ni mdogo lakini umekosa lishe utotoni hivyo sura yako inaonekan kama mtu mzima ndiyo maana wanawake wakubwa wanakukubali, Ni vigumu kurekebisha hiyo hali ya kilishe kwa sasa. Ploe sana.
 
Pole sana kijana. Kwanza fanyia uhariri hilo neno "canceling" nadhani ulimaanisha "counselling".
Pili, sidhani kama uko serious na mahusiano, nahisi unajiingiza kwa ajili ya shinikizo, kuiga aumazingira tu. Nakushauri uachane kabisa na masuala hayo hadi pale utakapokuwa serious kwa mahusiano ya kudumu, yaani NDOA.

Kaka nakupa salute ila tatizo mawazo
 
\

Counseling=CANCELING?, Uwezekano: wewe ni mdogo lakini umekosa lishe utotoni hivyo sura yako inaonekan kama mtu mzima ndiyo maana wanawake wakubwa wanakukubali, Ni vigumu kurekebisha hiyo hali ya kilishe kwa sasa. Ploe sana.

Utanisaidiaje sasa mkubwa?
 
wewe acha utoto ma shuga mummy ndio yenyewe sio vitoto vidogo visumbufu tuu mara hela za vocha, saloon, ada.
 
Back
Top Bottom