Nimechoka na Maisha

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054

Hali Halisi ya Mtanzania


182116_203281476465339_673983135_n.jpg






Ona toafuti,

426955_203228136470673_1317244513_n.jpg
 
Walipokuwa wakiambiwa wasitoroke shuleni walijiona wajanja, leo hii mjanja ni yule alikuwa akioneka mpumbavu na mshamba zamani. Hiyo ni kawaida wenyewe wanaita "Balance of Nature".

b.u.n.d.i
bukua
upate
nufaika na
dunia
ijayo
 
Siku hizi hata ukiwa na Master kwa hapa bongo haimaanishi kuwa ndio umewin maisha, wangapi matajiri na hawana elimu au wametundika shahada ukutani.

Riziki inatolewa mafungu, shukuru unachopata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom