Nimechoka na kazi ya ualimu!

Kuna rafiki angu kamaliza 2016 ualimu, kahangaika hata kupata tempo la 300k kwa mwezi lkn holaa.

Kiukweli kazi ni mbaya ukiwa nayo.
Mi niliachaga kazi baada ya kupewa ela ndefu na mjomba nifanye biashara.
Kilichotokea ni siri yangu.

Nashukuru nimepata kazi yenye mpunga unaokaribia na ule.

Sita acha kazi kma sijawa economic stable
Umeongea point brother.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom