Winter hii mkuu. Kamata demu wa kitasha utulie.Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna kuwapiga watu mizinga kama huko kwenu
Baada maisha ya new Harlem New York kunishinda nimeamua kuhamia Wisconsin angalau nipunguze Gharama ya maisha kidogo maana maisha yalikuwa sio poa viwanja vya starehe ni gharama sana nataka nipambane kidogo nihamie Kentucky nika hang na waAfrika wenzangu angalau nitaenda kupata miguu ya kuku kama huko uswahilini aisee
AiseeChagua lililo jema, maana Kumbuka jua huwa kali mchana ila jioni linazama
Sawasawa..Wenzio uliowaacha wana nyumba zaidi ya.moja wana ajira za kudumu na Mali kedekede come back home ASAP
njoo uungane na Tundu lissu
Tanzania ni salama,
unapasikia wavuvi camp?, ntakupeleka beer ni bei chee tu
Nenda Mwalimu, unatuondolea stimuAma hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna kuwapiga watu mizinga kama huko kwenu