Nimechoka kuwa singo

Nimechoka kuwa singo

Nilimaanisha Surveyor wale wanaodeal na matotal station na Level sio Quantity Surveyor. Labda unifundishe Leo kama na surveyors wanaweza deal na costs za majengo
Ooh basi sikukuelewa hivyo.. uko sawa, Japo nadhani hata hao QS's wanasoma surveying(Land Surveying) katika mwaka wa kwanza wa masomo yao.. Daah upo vizuri unajua hadi Total Station!
 
Ooh.. Hapo sawa.
 
Nilimaanisha Surveyor wale wanaodeal na matotal station na Level sio Quantity Surveyor. Labda unifundishe Leo kama na surveyors wanaweza deal na costs za majengo
Hapana, sisi quantity surveyors (cost engineers) hatuhusiki na hayo matotal stations.

Sisi tunadeal na cost planning and cost control in building and construction projects!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Sasa kama hutaki usumbufu mwanamke wa nini? Piga nyeto tu kiongozi, hio haina kutuma nauli, bby nkwambie kitu, wala kuingia period.
 
Hapana, sisi quantity surveyors (cost engineers) hatuhusiki na hayo matotal stations.

Sisi tunadeal na cost planning and cost control in building and construction projects!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Na wewe wale wale kumbe? Ngoja nikukaribishe tena chakula
 
Back
Top Bottom