Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaa!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaa!
Mambo ?Basi upone vizuri. Sema unaoenekana mdogo ungekua mkubwa ningechangamkia offer hiyo
PoaMambo ?
Sasa hii inamaana gan?Join jf September 13
Ukipata na Mimi atakaebaki nipasie maana nimechoka piaMambo vipi wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nimechoka kuwa peke yangu, natafuta mwanamke yeyote yule, ilimrad tupendane sitaki usumbufu, karibuni atakae kuwa tayari.
Nimepata wa3, ila wote wameomba hela ya vocha kwanza.Ukipata na Mimi atakaebaki nipasie maana nimechoka pia
Duuh hao hawafai kwenye ndoa maana awali ya yote wametanguliza shida binafc kuliko mambo ya msingi Waogope Sana haoNimepata wa3, ila wote wameomba hela ya vocha kwanza.
Hahahahahahatunaogopa kumuua mgonjwa
HahahahahaNimepata wa3, ila wote wameomba hela ya vocha kwanza.
nenda badooMambo vipi wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nimechoka kuwa peke yangu, natafuta mwanamke yeyote yule, ilimrad tupendane sitaki usumbufu, karibuni atakae kuwa tayari.
You ain't seriousnenda badoo
Tatizo gan mkuu?Kuna tatizo hapa.
Sawa tushajua unatumia Samsung sio tecnoHata wiki 2 hauna... kitengo kaziniView attachment 877720