Changamkia fursa mdadaYeyote yule??
wapi nikuonyeshe sasa?Embu nionyeshe
Hapawapi nikuonyeshe sasa?
kweli jamani hata wewe roho yako inafurahia niweke hapa?Hapa
Basi pm Mr Architecturekweli jamani hata wewe roho yako inafurahia niweke hapa?
Ahaha, hili laweza kuwa zali la mentali!Basi pm Mr Architecture
Hahahahaa.Ahaha, hili laweza kuwa zali la mentali!
kwa kukutazama tu naona wewe ni yule mwanamke ambaye hata nikigota kimawazo naeza sema Hebu Ngoja nimpigie simu Maybe she can came up with an idea!Hahahahaa.
Swali kwanza, wewe ni Architecture ama surveyor? Maana hapo nimeona survey equipment na usiniulize inaitwaje maana siijuikwa kukutazama tu naona wewe ni yule mwanamke ambaye hata nikigota kimawazo naeza sema Hebu Ngoja nimpigie simu Maybe she can came up with an idea!
Hujakosea mkuu. Sema huku tunajitoa ufahamu tu. Hahaahaakwa kukutazama tu naona wewe ni yule mwanamke ambaye hata nikigota kimawazo naeza sema Hebu Ngoja nimpigie simu Maybe she can came up with an idea!
mimi nimempa ushauri akiuzingatia ataishi kwa amani daima, ila kama anaumwa basi anahitaji dokta na yeye pengine ameona kwamba kutokana na tatizo lake basi suluhusho ni kumpata atayemtibuPona kwanza malaria ndo uanze kutafuta mwanamke yeyote yule
Hahaha umeuliza swali zuri, Architectus ni Neno la kilatini likiwa na Maana ya Designer wa Majengo (Architect) kama ulivyosema.. But iam Civil Engineer (Closely Related to Architect).. Surveyor yeye anaitwa Cost Engineer, yaani anadeal hasa na Gharama.. Pia ni Part Muhimu ya Civil!Swali kwanza, wewe ni Architecture ama surveyor? Maana hapo nimeona survey equipment na usiniulize inaitwaje maana siijui
hahaha im good kwenye kukisia eeHujakosea mkuu. Sema huku tunajitoa ufahamu tu. Hahaahaa
Mi naanza na marafiki kwanza fursa za ivo badoChangamkia fursa mdada
Nilimaanisha Surveyor wale wanaodeal na matotal station na Level sio Quantity Surveyor. Labda unifundishe Leo kama na surveyors wanaweza deal na costs za majengoHahaha umeuliza swali zuri, Architectus ni Neno la kilatini likiwa na Maana ya Designer wa Majengo (Architect) kama ulivyosema.. But iam Civil Engineer (Closely Related to Architect).. Surveyor yeye anaitwa Cost Engineer, yaani anadeal hasa na Gharama.. Pia ni Part Muhimu ya Civil!
Kwahiyo anatafuta dokta wake amtibu yeye tu?mimi nimempa ushauri akiuzingatia ataishi kwa amani daima, ila kama anaumwa basi anahitaji dokta na yeye pengine ameona kwamba kutokana na tatizo lake basi suluhusho ni kumpata atayemtibu