Nimechoka kuwa singo

Nimechoka kuwa singo

Haiwezi ikawa kweli,cc mpaka tunabalisha namba za cm kuwakwepa,au ndio mdomo zege?
 
basi kuwa double " tu .. Yanini upate shida
 
Dado kivip wakati mwenza hajapatikana?
ukikaa unaji text mwenyewe", Unajiuliza baby vipi u-meshakula" ... then wajijibu bado My sugar", sina hamu ya kula leo".... hahaa ukifanya hivyo hautoweza tena kuuona upweke
 
ukikaa unaji text mwenyewe", Unajiuliza baby vipi u-meshakula" ... then wajijibu bado My sugar", sina hamu ya kula leo".... hahaa ukifanya hivyo hautoweza tena kuuona upweke
Are you kidding? Try to be nice
 
Back
Top Bottom