Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,872
Ngoja nikuitie Carlos The Jackal maana husikii wewe.Hivi ushaoga lile vumbi limeisha mkuu?
Ngoja nikuitie Carlos The Jackal maana husikii wewe.Hivi ushaoga lile vumbi limeisha mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo umepata nafuu na nguvu za kuwaza kugegeda zikakujia eeh?
NdioHivi ushaoga lile vumbi limeisha mkuu?
Yaan akinikuta hapa sijuiii,,ila bora aje amsaidie na kumtafutia mwanamke mzurii maana wengi humu sisi wadangaji jamaa hatuweziNgoja nikuitie Carlos The Jackal maana husikii wewe.
Mbona limkubwa hili jamaaa changamkia offa hiyoBasi upone vizuri. Sema unaoenekana mdogo ungekua mkubwa ningechangamkia offer hiyo
Hahahahaaa. Utakua Namba moja kwa wanafkiYaan akinikuta hapa sijuiii,,ila bora aje amsaidie na kumtafutia mwanamke mzurii maana wengi humu sisi wadangaji jamaa hatuwezi
Mdogo aliweka picha yake asubuhi.Mbona limkubwa hili jamaaa changamkia offa hiyo
Mi sikosi top5 [emoji23]Hahahahaaa. Utakua Namba moja kwa wanafki
Top 5 mbona mbali. Top 3 hukosiMi sikosi top5 [emoji23]
Mambo vipi wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nimechoka kuwa peke yangu, natafuta mwanamke yeyote yule, ilimrad tupendane sitaki usumbufu, karibuni atakae kuwa tayari.
Wewe je upo namba ngapiTop 5 mbona mbali. Top 3 hukosi
MbiliWewe je upo namba ngapi
HahahahahahahahahahahahahahaDogo, hizi ID zimeficha mengi humu unaweza kukutana hata na bi mkubwa wako ikawa aibu bure, nakusaidia tu, weka tangazo kwenye nguzo za umeme hapo mtaani kwenu wanawake wapo wengi.