Nimechoka kuwa mwembamba

duuuh sihitaji unene kamwe mamaeeee mambo ya kuvaa suti tu ndio upendeze siyataki mie
 
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.

Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.

Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?

Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
BMI yako ikoje? Tuanzie hapo kwanza.
 
Dah pole bro... Mimi nilikuwa mnene ata zaid yako.. Lakini nilipambana kuwa na mwili flat kama Eric Omondi and jah bless kwasasa nipo mwembamba na binaenjoy wembamba.. Nachukia unene pia unene ulifanya [HASHTAG]#Dick[/HASHTAG] yangu kuwa ndogo.. Now naenjoi vyote wembamba and heavy Dick.. Baki ivyoivyo ndugu
Weka hizo mbinu siutaki unene unamatatizo mengi
 
Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita

Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii

Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii

Usipende kutembea sana mwendo mrefu.

Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.

Awe makini tu asi ongezee kichwaa baadala ya mwili mkuu
 
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.

Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.

Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?

Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
Mi binafsi napenda sana vimodo yani nikikiona tu huwa nasisimka.
 
Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita

Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii

Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii

Usipende kutembea sana mwendo mrefu.

Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.
Soda ya majiyakiwa baridi, ubaridi mwilini unasaidia nini????
 
Back
Top Bottom