Nimechoka kuwa mwembamba

Deva

JF-Expert Member
May 29, 2018
1,238
1,801
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.

Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.

Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?

Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
 
Ha aha h hah pole sana,mie pia nimewahi kusikia kuwa mashemeji hawapendi kabisa mwanaume mwenye kifua ambacho kipo flat kama ubao,naona wa kwako pia ameamua kuondoa ukimya,pole sana mkuu!
 
Tumeumbwa tofauti na kila mmoja amepewa maumbile yake......

Ukiishi kwa kutaka kuwafurahisha wanadamu automatically unakuwa mtumwa wa fikra zao....

Mwanadamu hajawahi kuridhika wala kutosheka tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu!!!...

Kila nati imeundwa mahususi wa ajili ya bolt yake!!!!

Ukiona mpenzi wako analalamikia sana maumbile yako ya kimwili basi ujue upo naye kimwili lakini sio kifikra!!!

NB
Kama umeamua hivyo kwa utashi wako sio mbaya
 
Hahaa mkuu yaani acha tu eti nasikia wanasemaga hivyo.

Ila mimi sijaambiwa
 
Tumeumbwa tofauti na kila mmoja amepewa maumbile yake......

Ukiishi kwa kutaka kuwafurahisha wanadamu automatically unakuwa mtumwa wa fikra zao....

Mwanadamu hajawahi kuridhika wala kutosheka tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu!!!...

Kila nati imeundwa mahususi wa ajili ya bolt yake!!!!

Ukiona mpenzi wako analalamikia sana maumbile yako ya kimwili basi ujue upo naye kimwili lakini sio kifikra!!!

NB
Kama umeamua hivyo kwa utashi wako sio mbaya
Kwa utashi wangu mkuu.

Self improvements
 
Kwanini alikfata ilhali hapendi wembamba!,,,kama ni maamzi yako binafsi sawa ila isiwe kwa sabab ya kfrahisha wengine
Sina mpenzi..wala sio kwa ajili ya mtu
 
Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita

Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii

Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii

Usipende kutembea sana mwendo mrefu.

Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.
 
Attachments

  • Ushauri wa Kunenepa Haraka-Dr Othman.mp3
    3.2 MB · Views: 99
Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita

Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii

Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii

Usipende kutembea sana mwendo mrefu.

Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.
Mkuu hii diet inazidi kipato changu.
 
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.

Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.

Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?

Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
Dah pole bro... Mimi nilikuwa mnene ata zaid yako.. Lakini nilipambana kuwa na mwili flat kama Eric Omondi and jah bless kwasasa nipo mwembamba na binaenjoy wembamba.. Nachukia unene pia unene ulifanya [HASHTAG]#Dick[/HASHTAG] yangu kuwa ndogo.. Now naenjoi vyote wembamba and heavy Dick.. Baki ivyoivyo ndugu
 
Back
Top Bottom