Kaka Excel, najitahidi sana na Mungu anisaidie. Sema majaribu nayo mengi. hawa nyumba ndogo hawapendi kuona wenzao tumetulia, kutwa kucha wanatafuta waume waliotulia kwenye nyumba zao, eti wanasema tunabanana hapa hapa. Nimegundua siri kubwa ni kumuombea huyu mahahuba wangu!
Hongera kw kugundua hyo siri bandika mikono kabisa kwa damu ya Yesu utafankiwa wewe na mumeo . Wako wengine wanafikir kwa akili zao wanafirk mashindano yak katik mwil kumbe kaz ipo katik ulimwenu wa roho tena vita kubwa. Watu hawajui shetani ypo kazin anawatak hasa watakatifu wa Mungu hao ndo ana shida nao si wale waliozoea dhambi