Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Tangu nimeanza kujitambua hakuna kitu nisichokipenda na kutokiamini kama siasa!!hawakosi majibu katika maswali wanayoulizwa au katika mambo nyeti yahusuyo taifa!!.mfano''katika suala hili la ajira za ualimu tulikuwa pia tunawafundisha vijana wetu kuwa WAVUMILIVU"
 
Na hata zikitoka hutokaa uendelee manake utapangiwa kijijini utakosa plan b na utabaki kusubiri mshahara kwa mwisho wa mwezi. Hii ni baada ya kugundua umeshindwa kujishughulisha na kitu chochote na kusubiri ajira ambayo kimsingi itakufanya masikini miaka nenda rudi
Wacha kumtia laana na jaka moyo mwenzio
 
G. Simbachawene kesho 31.05.2
016 ni mwisho wa ahadi yako maana mwezi mei ndio huo unaisha.kama umeshinda omba radhi kwa usumbufu ulijitokeza kwa walimu tarajali
Hii ndio siasa za Tanzania ni magumashi kwenda mbele, Ama kweli siasa Tanzania unatakiwa uwe fundi wa kusema uongo.
 
Dah! mapema mwaka huu? Hiv mhJafo anafaham maana ya mapema? Afu watu wengine wanapenda sifa eti mlitumia vibaya boom, hivi unajua watu wote wanapata asalimia mia? Je, unajua kuwa kuja kupata boom unakuwa una madeni lukuki, na baada ya boom la kwanza kwa linalofuatia hucheleweshwa sana hadi mipango ya bajeti kuvurugika? Unaposema mtu ajiajiri, mwalimu atajiajiri wapi? Serikali iache ukiritimba huu, mtu anakaa mtaani mwaka mzima ili hali kuna upungufu mkubwa wa walimu nchini pamoja na mrundikano wa wanafubnzi hasa baada ya elimu bure, visingizio vya hakuna pesa siyo vya msingi, serikali inakusanya mapato yake hadi kuvuka malengo kwa sasa, na ikumbukwa ajira za walimu mwaka huu ni kwa bajeti inayoisha muda wake yaani 2015/16 na si 2016/17 kama baadhi yetu tunavyopotosha. Hivi unahangaika na madawati wanafunzi wakakae tu darasani bila walimu? Mtu anayeleta dhihaka na kejeli asidhan anamkomoa mtoa mada bali halitakii mema taifa, mwalimu ndo anamuandaa mtaalam wa kufanya kazi viwandani hapo baadae, leo unategemea matokeo mazuri ili hali mwalimu 1 anafundisha wanafunzi 200 na kuendelea tofauti na idadi halisi ya wanafunzi 45, serikali inadai nchi haina walimu wa sayansi, leo unawakalisha mwaka mzima utadhani hjamna uhitaji. Where are we going as a nation?

Tatizo watu wenye akili timamu kama wewe ni 2% ya taifa zima, the rest ni wapumbavu ambao wanamiliki smartphones
 
Kwa nini magufuli leo kwenye hotuba yake UDSM hakuweka wazi suala la sintofahamu kwa walimu wanaosubiri ajira 2016 .
 
ni aibu msomi kutumia neno tuwe wavumilivu ilihali unajua wanafunzi wameteseka miezi sita kwa kukosa mwalimu wa physics,chemistry,math,economics,geography. Paza sauti kutetea watoto wakapate elimu kwa kuwaajiri nguvu kazi iliyoko mtaani.
 
ni aibu msomi kutumia neno tuwe wavumilivu ilihali unajua wanafunzi wameteseka miezi sita kwa kukosa mwalimu wa physics,chemistry,math,economics,geography. Paza sauti kutetea watoto wakapate elimu kwa kuwaajiri nguvu kazi iliyoko mtaani.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Style unayotumia kuomba ajira ziwahi ni ya kipekee

Utadhani una uchungu sana na hao wanafunzi kumbe mtaani jua kali[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Tafuta sehemu uweke genge la mbogamboga na matunda utajikwamua, ualimu Tanzania?!!
 
anzisha tuit kama una mood ya kufundisha utapiga hela
 
tetesi; ajira zenu mwezi 8 katikati.
Haa, kumbe wewe! wewe huna lolote, huna msimamo na hujui lolote, maana iliwahi kuuhakikishia umma kuwa ajira za walimu zngetoka February 25 mwaka huu. lakn hakuna lolote. Tulia kijana, unaposema kitu uwe na kumbukumbu, mwingne ataaminika lakini wewe hamna!
 
Back
Top Bottom