Ba Bii
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 160
Pole jamaa yangu. Mm nimeomba japo kujitolea tu bado imekuwa shida yaani siitwi. Ila nakomaa hapa mpaka kielewee. Kwani nikuulize swali, uliambiwa Botswana kuna ajira za ualimu?Wakuu hawa TAMISEMI siwaelewi kabisa. Naomba muongozo jinsi ya kufika Burkina Faso kwenda kusaka ajira ya Ualimu, haiwezekani huu mwaka wa 3 serikali inatuangalia tu. Mara ooh kujitolea Temeke.
NB: Nikifika kule nitawashtua watu waje kuangalia fursa zingine.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app