Nimechoka kuombwa hela

Usije Mjini... Ushaliwa hahahaaa
 
Mleta Uzi, kajipime mkojo kisha ulete majibu yako kesho kabla ya saa 09:00am pale ofisi ya mkemia mkuu ili tuhakikishe kwa vipimo vyetu pia kama uko salama.

Hakika, viroba vya kijijini havikukuacha salama, ila ishukuriwe serikali kwa kuvikataza viroba visiuzwe.
 
Wanaume kama nyinyi siwaonei huruma Na wanaume kama nyie ndiomnakufaga Na maradhi kama kuku umekuja siku hiyo hiyo kisa mwanamke kukuchekea kidogo ushafungua zipu yaani hapo nikuonyesha uwanaume wako kukataa umeona utajishushia vyeo vyakuitwa mwanaume Na hapo usikosee ulikotoka mpaka kuja hapa umemuacha mwanamke wako mpaka hapo ushamsaliti sasa ngoja ufundishwe adabu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] utachunwa mpaka senti yako yamwisho ushauri mblock kila kona usipokee simu yake mkwepe sana kama ukoma yaani kuwa bze Na kazi zako achana nae ukifanya mchezo utajialibia kazi


Ila ukome siku zote ukienda mahali ugenini piga hodi ndio maana kwetu tanga unaambiwa ukija vibaya waja Leo waondoka Leo
 
sasa ulitaka ugegede utunda wake bure.... we tuma tu pesa
 

Hongera kwa kufika dar jiji la marahaaaa
 
Maranyingi hata ukienda ugenini kiasi gani shetani huwaga wa kwanza kumvaa mtu sasa wewe unaomba ushauri ama unatoa majibu ? Kaa mbali na huyo jini jiulize mpaka sasa hana mume na anacheo huwezi kuona anamatatizo makubwa sana mtu huyo na uwe na akili ukiwa kazini wewe unaanza maisha unajenga mausiano na anae malizia
 
Hao ndiyo kawaida yao mkuu,wapo kimaslah zaid,cha muhim ni kuwaepuka kabisa,tofauti na hapo utapigwa mizinga mpaka utaripuka,alafu hawajui kuomba kwa unyenyekevu yaan wanaomba kama walitunzia kwako au kwa lazima(sitaki kujua una shingap we tuma ela)
Yaan wanaomba kwa ku force. Like wanakudai vile. Nilikuwa na mmoja yuko hivyo nikampa kibut na uzur wake, alikuwa hana adab kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…