supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
- Thread starter
-
- #41
Mkuu yule dem sikuwa nmempa hata mia....yeye mwenyewe kwanza anatembezwa na GX V8 nyeupe ya hatari sana.....ina STL plate number.......usifiche mkuu tunaona elfu hamsini zimekutoka hivyo tu.bao moja elfu hamsini dah!!
Sio Ps....ukimaanisha Secretary....Mmmhh kwa kada yetu mtu mwenye ACCA na PHD mmmmhhh!! Hapana asee usitudhalili kwa kweli. Huyo ni PS[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
huyu jamaa anatuibia Phd gani anaomba buku mbili??maneno uloficha yanasomeka hv uzuri nina 2000 sasa hiyo 2000 ya nn
hahaha nimewaza kama wewe...hapo kuna mawili either demu mbayaa au ana ngwengweMtu mwenye sijui Phd,MBA,ACCA anatumiwa 2000/= sijajua kama ni dola za kimarekani au paundi.Anyway kumbe kuna PHD holders wanaogongwa siku hiyo hiyo tena na wakuja kama wewe???
ungesema anataka ya vocha atleast ungeeleweka kwa mbaliMkuu, kwanza natumia Tecno C5[emoji23][emoji23][emoji23]
Cha pili hyo ndo pesa nlokuwa nayo kwenye MPESA....2,000 kamili...nlificha coz nlijua mtanijudge sana tu..... Cha tatu mimi sio afisa sana kiasi kwamba nitishe watu, kwangu namiliki Sub-woofer na kitanda cha chuma na Flat screen ya Mr UK....ila huyo dada kanitisha sana, maana mimi sio level yake, nipo chini sana kwake, ndo kwanza nina miezi 5 kwenye ajira ya serikali...ila naamini nitajipanga zaidi baadaye niwe mjanja nipate mambo mazuri kifedha e.t.c....ila hilo la reaction ya huyo huyo Director of Operations limenitisha ndo maana nikaona nitegemee majibu yenu kama ni mtego au vipi.....
Sikatai, mimi ni mgeni Dar kabisaaa.....hata chuo nlichopatia Degree kipo mkoani tena vijijini kabisaaa
Ukome kabisa
Aisee eti "nina 2000 " huyu jamaa mtamwa sio buremaneno uloficha yanasomeka hv uzuri nina 2000 sasa hiyo 2000 ya nn
UmepoteaaAliye kuteka mungu anamuonaa..
Umepoteaa
Wee tuma hela mkuuNimekuja Dar kikazi juzi, natakiwa kukaa Dar miezi mitatu, katika kupokelewa hiyo hiyo juzi mdada mmoja kanichangamkia sana ingawa kanizidi saaana cheo kwa hyo ofisi nilipofikia.
She has Phd, MBA, ACCA wale wa kada ya Uhasibu mnaelewa atakuwa mkuu wangu kiasi gani kwa serikalini kwa sifa hizo.
Shida alianza nishobokea sana siku hiyo hiyo na tukalambana maana baada ya ofisi alinipeleka rest house yeye mwenyewe na tulitumia condom.Mbaya zaidi tukaanza itana hun love e.t.c
Sasa kimbembe leo nimemchatisha kaniomba msaada wa ela nikamuambia nina kiasi fulani jibu kanijibu hilo hapo chini sijaelewa kabisa.
Wenyeji wa Dar nambieni huu ni mtego wa kikazi au she is desperate maana hajaolewa mpaka sasa hivi.