Nimechoka kuombwa hela

Daah, kweeli "usije mjini" hata kana ana hold accacia degree Mkuu hapo sio kabisa, tafuta pakutokea itaku cost at last
 
[emoji16][emoji16][emoji23]
 
Mkuu nakuona na ka tecno kako halafu unamwambia buku 2 itatosha sasa huyo hiyo phd yake aliichukulia kwa Bashite au?
 
usifiche mkuu tunaona elfu hamsini zimekutoka hivyo tu.bao moja elfu hamsini dah!!
 
Watu kwa kuzoom hamjambo mmeshajua ni 2000 daah, kweli JF kiboko

Mkuu ndio umeshakaribishwa mjni hivyo
 
Hahaha........ Yaani umekuja siku hyo hyo ukagegeda? Unafaa uwe mwandishi wa vutabu ww maana sio lwa uwongo huo
 
Hiyo PHD itakuwa ya kuuza maku hiyo ACCA itakuwa kupiga mizinga hiyo MBA itakuwa ya kupiga mikwara mwanamke wa hivyo utampata sokota hii stori nzuri ila ya uongo
 
Mkuu, kwanza natumia Tecno C5[emoji23][emoji23][emoji23]

Cha pili hyo ndo pesa nlokuwa nayo kwenye MPESA....2,000 kamili...nlificha coz nlijua mtanijudge sana tu..... Cha tatu mimi sio afisa sana kiasi kwamba nitishe watu, kwangu namiliki Sub-woofer na kitanda cha chuma na Flat screen ya Mr UK....ila huyo dada kanitisha sana, maana mimi sio level yake, nipo chini sana kwake, ndo kwanza nina miezi 5 kwenye ajira ya serikali...ila naamini nitajipanga zaidi baadaye niwe mjanja nipate mambo mazuri kifedha e.t.c....ila hilo la reaction ya huyo huyo Director of Operations limenitisha ndo maana nikaona nitegemee majibu yenu kama ni mtego au vipi.....

Sikatai, mimi ni mgeni Dar kabisaaa.....hata chuo nlichopatia Degree kipo mkoani tena vijijini kabisaaa
 
Mbna mm natumia Nokia tochi na nimeng"oa mzigo wa maana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…