Nimechoka kumtetea Dube

Nimechoka kumtetea Dube

Hilo nafahamu ila Yanga imekuwa sio ile ya Gamondi, sio ile ya Miloud. Ya Miloud ilikuwa ni strong kwenye ulinzi na kushambulia. Ila hii ni kama aliyekatwa kichwa inajiendea hovyo hovyo tu. Anawezekana ikawa ni msimu mbaya sana kwa Yanga na msababishani ni Hersi.
1kumuacha Miloud kizembe na kuiingiza Yanga katika laana kwa kuchangia CCM.
Kibaya zaidi support ya wananchi imeshuka sana.
 
Kibaya zaidi support ya wananchi imeshuka sana.
Sana, na majibu yalipatatikana siku ile ile Hersi anatoa michango ya wanachama na mashabiki wa Yanga kuichangia CCM. Mashabiki wengi walionesha kutoendelea ku support timu kwa kutoingia uwanjani, kununua jezi, n.k. Ukijumlisha na mwenendo wa nchi yetu na hakuna klabu iliyoonesha kusimamia na wananchi kutoa hata pole ndio kabisa. Kubomoa ni jambo rahisi sana kuliko kujenga ni jambo la dakika tu.
 
Timu bado mbovu mno yaani fitness nayo hakuna, nimeangalia mechi mpaka nikaogopa jinsi tutakavyokula za kutosha klabu bingwa. Inawezekana iina laana ya kuchangia CCM ndio inaitafuna hii timu tutalaumu kila kocha msimu huu.
Mistari miwili ya mwisho ndo kila kitu.
 
Back
Top Bottom