Nimechoka kuishi mwenyewe

Afu utackia wanawake wngi endeleen kuringa!!!c mnamuona hyu mwanaume mwnznu hahahahaha
 
Pole mkuu kwa masaibu hayo. Proper time management na prioritisation ya mambo yako ni muhimu. Ukizingatia haya na kuhakikisha una mawasiliano mazuri na mwenza wako plus kutimiza majukumu yako yote ya msingi kama mume kwa ufanisi mkubwa then hata kama uko bize utaweza tu kuendesha ndoa yako tena kwa mafanikio.

Ila mkuu naona tangazo lako limepata muitikio mzuri. Wamekuja walengwa bana. Hongera na kila la kheri mkuu
 
mtoa mada anatuchanganya.
 
ukijitambua
wewe ni nani, unataka nini, na kwa wakati gani.....
haitakupa shida
 
Sitafuti mke, ila naomba ushauri, nikiwa naye ntaishije, au atanichukuliaje, muda mwingi niko mbali naye
Kwa hilo oa mwenye shughuli kama masomo, au kazi inayomuweka bize au fanya long distance mahusiano kwa muhusika mwenye maisha ya ubize ili muwe sawa vinginevyo utalizwa
 
Kweli kabisa kuwa single nayo pia ina raha yake
 
We njoo kwangu mi ntakupa experience ya kuishi singo
 
Wakuu habari zenu,

Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.

Msaada tafadhali

Njoo tuishi wote huku, maanake hata mimi nimechoka kuishi mwenyewe
 
Tehe!
 
Njoo tuishi wote maana hata mimi nimechoka kuishi mwenyewe atiii nakua kama bubu hata wakuongea nae kwa simu sinaaa
Rubi mbona umeondoa kapicha Kako? .... Nakapenda sana naomba ukarudishe
 
Wakuu habari zenu,

Nimechoka kuishi mwenyewe kama mwanaume timilifu. Je mnanishauri nifanyeje na shughuli zangu zinanibana sana kujichanganya.

Msaada tafadhali
we jamaa kamamimi yani dah...af michepuko haiji ...mademu nao hawaji huu ubusy huu...demu wangu busy kwako anabannwa kwao mara kazi nazo...yani nawaza nka...wahay.....BAAAD NEVER WILL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…