NIMECHOKA KUHUSU TCU vs CHUO..jamani!!

Jemsi

Senior Member
Mar 22, 2012
149
19
Wapendwa mpaka hapa nlipo ma2maini yangu ya kuendelea na chuo yamekata,kutokana na kuona kwenye profile nimeadmited chuo flan lakn jina halipo kwenye web ya chuo,nimesumbuka kuwapigia chuoni wameniambia majina waliyotumiwa na tcu ndio yapo kwenye web yao..lakini sijachoka,nikawapigia tcu hawapokei simu,nilivyoona hivyo nikawatumia email text lakini hawajibu..na mi siwezi kuwafikia nipo mbali sana....mpaka hapa nilipo nimekata matumaini kabisa,na sio kwamba ni second aplication mi niwa mara ya kwanza tcu kutupia majina kwenye profile na nina point 7 za kuniwezesha kuendelea na masomo..jf mnanishauri nini?
 
mkuu usipaniki ngoja tcu na heslb wa publish matokeo officially siku za karibuni..coz sisi wengine tumechaguliwa lakini mpaka leo matokeo hayaja wekwa kwenye website ya chuo so hatujui kama yamefika huko ama vipi
 
Da mkuu mi sio mpenzi wa magazeti,si wa2me vyuoni ili vyuo wa upload wenyewe kwenye web zao.
 
risasi ya mbali haiuwi nyoka, unaona kupoteza nauli kuja kuwaona haya jamaa ni shida, mbali wapi kusikofikika? ni heri ukose chuo kuliko kufunga safari ya kuja huku, acha kulalamika nenda kwa wahusika waeleze wakusikilize shida yako. namba zao huwa ni nadra sana kupokelewa, na ukituma email ndo kabisaaa , angalia walisema tuweke emails zetu weakati wa kua-pply lakini hakuna updates zozte kupitia emails zetu, hawa jamaa bado ni underground, wanatengeneza single
 
Mkuu hilo tatizo ni la wengi hata huyu jamaa anayejiita freeman patrick ni jamaa angu hilo tatizo limenpata km na ana maelezo tosha kuhuxu hi mambo km vp mcheki fb kwa jina la gabriel patrick au mcheki hapa 0713122995. Kw vp mcheki kabla hujapoteza nauli yako kuwafwata.
 
Mkuu hilo tatizo ni la wengi hata huyu jamaa anayejiita freeman patrick ni jamaa angu hilo tatizo limenpata km na ana maelezo tosha kuhuxu hi mambo km vp mcheki fb kwa jina la gabriel patrick au mcheki hapa 0713122995. Kw vp mcheki kabla hujapoteza nauli yako kuwafwata.

mkuu majina ya gabriel patrick yapo mengi fb sa cjui ni lipi? Am izack lema ma fb account(nimeweka photo ya chipanzee amewear glases)
 
Back
Top Bottom