Nimechoka kubeba zege, nataka nirudi shule

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,147
32,950
Habari wakuu...nilimaliza kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita..matokeo yangu yalikuwa mabovu sana...nikageukia upande wa pili..nikaamua kukimbizana na hela..nimefanya kazi kibao(kutembeza mitumba, kuchoma mahindi na mishikaki..na kubeba zege) lakini naona hela nayo imeota miguu na inanizidi mbio...nimeona bora nirudi school...nimegundua maisha bila elimu ni sawa na kusafiri bila nauri..
 
Kila la heri Mkuu, elimu ni ufunguo wa maisha.
 
Habari wakuu...nilimaliza kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita..matokeo yangu yalikuwa mabovu sana...nikageukia upande wa pili..nikaamua kukimbizana na hela..nimefanya kazi kibao(kutembeza mitumba, kuchoma mahindi na mishikaki..na kubeba zege) lakini naona hela nayo imeota miguu na inanizidi mbio...nimeona bora nirudi school...nimegundua maisha bila elimu ni sawa na kusafiri bila nauri..

nenda shule najua ukijituma lazima utoke na hii big results now!
 
Kila la heri mkuu,unajua Mtu kufeli form 4 Mimi binafs nasema ni kutokujituma,Mimi binafs kuna dogo mmoja alipataga ziro,anajifanya sharobaro,kaingia street maisha magumu,akajipanga ku reseat,yanh alipata division two,na tokea hapo akawa serious na shule,now anafanya masters

Kama umejigundua kila la heri mkuu,jipange upige shule,maisha bila shule mkuu utajuta.
 
Habari wakuu...nilimaliza kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita..matokeo yangu yalikuwa mabovu sana...nikageukia upande wa pili..nikaamua kukimbizana na hela..nimefanya kazi kibao(kutembeza mitumba, kuchoma mahindi na mishikaki..na kubeba zege) lakini naona hela nayo imeota miguu na inanizidi mbio...nimeona bora nirudi school...nimegundua maisha bila elimu ni sawa na kusafiri bila nauri..

kutokana na mfumo mpya wa madaraja ya ufaulu,hamna zero safari hii,so kama utarudi shule lazima ufaulu kwa sababu hata kama hutasoma je utashindwa kupata division 5 ya 4m 4?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom