LEVEL
Senior Member
- Jul 4, 2013
- 195
- 51
Imefikia muda ata kutongoza tena naogopa kwani nahofia ata nikimpata atanikimbia kwani imekua ni kawaida yao kunikimbia sababu kubwa hasa ikiwa ni kuwa naomba game kila siku napisha siku za mwezi tu sasa jamani.
Nauliza kama mtu una mpenzi wako unaishi naye na nguvu zipo za kutosha huna mchepuko unakula vizuri kwa nini usimpe haki yake effectively ukitoa kidogo wanalalamika ukitoa full dozi kutwa mara tatu kelele.
Tufanyeje sasa