accountant D
Member
- Dec 17, 2013
- 46
- 17
Ha ha haa sometimes the shit happen!
Hata mimi nakumbuka niliitwa interview na recr agent saa nne asubuhi. Basi niliwah kuamka nikajiandaa na hali ya hewa ilikua shwari tu that day. nikakalkuleti kutoka hapa nilipo mpaka posta kny intavyuu ni mwendo wa nusu saa tu plus nusu saa ya kusubiri na kujiweka fit room temp jumla lisaa limoja. basi ivofika mbili na nusu nikajongea kituoni. hatua mbili tu halahaulaa! Mua sijui wapi ilipotokea! Kama ujuavyotena siku ya intavyuu mtu unapojikip smart. Nkasema ngoja nijibanze ikate, Mwee lisaa lizima mvua haiachi. Nikacheki na bodaboda, Kumbe zilishakatazwa mjini! Daaah nikajitosa kwenye daladala foleni gani! Yani nilikua kama chizi. Mpaka nafika intavyuu rum saa tano badala ya nne. Nikadiskwalifai palepale thoo nilijitetea sanaa.
Iliniuma!
Pole sana lakini siku nyingine jifunze kutafuta na kujua location kabla ya siku ya interview.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Nimesomea accountancy,degree level.nimekuwa nikitafuta kazi mwaka unaisha sasa.bahati nzuri i applied for pwc graduate recruitment and got shortlisted.I did the aptitude test and passed.I could see light at the end of the tunnel.I was called for first interview.i was happy,getting a job at pwc is a jackpot and life dream for an aspiring accountant.I prepared well and woke up at 5:30 am in the morning.
By 6:30 i was out of the house.the interview was to take place saa tatu na nusu.nilijua nina mda wa kutosha.nilifika oysterbay saa tatu nikaanza kutafuta ofisi.kila unaemuuliza hajui.nilipata shida kuilocate but finally niliipata.ubaya nilichelewa dakika tano.nimeingia tu interview hicho ndo kitu cha kwanza kuambiwa.sikupata mda wa kuapologize sababu maswali yalianza immediately.
Maswali nimeyajibu vizuri but inaniuma sana nikikosa hii kazi sababu ya kuchelewa dakika tano.vipi guyz,do i still have a chance of being hired after this?..
HR wa JF nipeni mtazamo wenu please.
Nipeni njia ya kutoa haya machungu .sababu siwez kufanya chochote sa hizi.najilaumu na najichukia kwa hili..
apo ndo uelewe kua kupata kazi sio ujanja wako..ni Mumba wetu ndio anaetoa rizki...Weka ahadi na Muumba wako ukipata kazi hii mshahara wa mwanzo baada kutoa mahitaji yako ya lazima utawapa watoto mayatima...au utafuta mtu masikini mtaani ili aanzishe japo mradi wa kuuza vitumbua...au maandazi...au kumnunulia mlemavu baiskeli ya maringi matatu....pia usimsahau kumfurahisha mama yako na baba yako mshahara wa mwanzo...kama wan uwezo wanunulie japo nguo mpya...kama ni masikini watengenezee chumba wanacholala.....