Mb-one
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 884
- 1,296
Ustadh katika mizunguko zunguko yake alikutana na m'mke mrembo sana. Yule ustadh alishindwa kustahmili, ikabidi amwite na kumuambia:-
"Wewe binti hakika Allah kakupa kila kitu isipokuwa kitu kimoja tu!".
Binti akastuka, akauliza kwa mshangao na uoga mkubwa:-
"Ni kitu gani hicho!"
Ustadh akamjibu: "NAMBA YANGU YA SIMU! WALLAHI HUNA!
"Wewe binti hakika Allah kakupa kila kitu isipokuwa kitu kimoja tu!".
Binti akastuka, akauliza kwa mshangao na uoga mkubwa:-
"Ni kitu gani hicho!"
Ustadh akamjibu: "NAMBA YANGU YA SIMU! WALLAHI HUNA!